Startimes mmenigombanisha na mke wangu

Startimes mmenigombanisha na mke wangu

Gunst

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
2,995
Reaction score
5,664
Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.

Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu nilichukua rimoti ya TV nikaweka ITV ili niangalie taarifa ya habari, ghafla mke wangu alinirukia kama nyani na kuninyang'anya rimoti huku anahema.

Wakati namshangaa akanambia kwa ukali:

"usiniharibie starehe zangu, huu ni muda wa tamthilia, kama unapenda sana taarifa ya habari nunua TV ya chumbani".

Kwa upole ilinibidi nielekee chumbani kujilaza, na sitompa unyumba wiki nzima kwa kunikwaza.

USHAURI: Enyi Startimes heshimuni muda wa taarifa za habari, hizi tamthilia za wanawake wekeni mchana na jioni tu ili kuepusha migogoro ya familia.
 
Shida sio startimes, shida ni kwamba huna sauti nyumbani kwako.
Wao wamekuwemea channel mbalimbali uchague mwenyewe
 
Startimes hawana hio ratiba mkuu labda ungetaja channel husika.

Anyway hata ukimnyima hainaga makombo wakiichapa boda

Vidume vya humu ukivikuta kule MMU vibabe kweri kweriiii(kweli kweli)ila kumbe nje ya keyboards vinateseka sana kwa wake zao daah
 
Shida sio startimes, shida ni kwamba huna sauti nyumbani kwako.
Wao wamekuwemea channel mbalimbali uchague mwenyewe
Mkuu ulitaka nitumie ubabe?
 
Tatzo hawajazoea hiyo ratba ya habari, wew umeharibu ratba yako kwa kurudi mapema basi wao usiwaharibie na wenzako utamu wao
Ila wanawake kwanini hampendi taarifa za habari?
 
Huna sauti ndani ya nyumba yako.kwanza alikuwa aheshi kuwahi kwako kurudi home.
 
Mi nina mpango wa kununua ya chumbani na king'amuzi cha Azam, mimi siwezi angalia maagizo ya HUBA, MPALI, KITIMTIM nk

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
Hapa najiuliza, hivi wale wanaume wanaowahi kurudi nyumbani huwa wanangalia vipindi gani kwenye TV na wake zao?
 
Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.

Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu nilichukua rimoti ya TV nikaweka ITV ili niangalie taarifa ya habari, ghafla mke wangu alinirukia kama nyani na kuninyang'anya rimoti huku anahema.

Wakati namshangaa akanambia kwa ukali:

"usiniharibie starehe zangu, huu ni muda wa tamthilia, kama unapenda sana taarifa ya habari nunua TV ya chumbani".

Kwa upole ilinibidi nielekee chumbani kujilaza, na sitompa unyumba wiki nzima kwa kunikwaza.

USHAURI: Enyi Startimes heshimuni muda wa taarifa za habari, hizi tamthilia za wanawake wekeni mchana na jioni tu ili kuepusha migogoro ya familia.
Hivi muda wa kutazama TV mnapata wapi? Tena Startimes
 
Kwa kifupi unatawaliwa na mwanamke, kitaalamu tunasema MWANAMKE AMEKUPANDA KICHWANI.
 
Back
Top Bottom