Startimes Mnatuchukuliaje?

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Kuna majibu ukipewa baada ya Kuuliza maswali flani unaweza ukahisi aliekujibu ana Utindio wa ubongo au kakuona wewe fala sanaa... Jana nilitaka Kulipa lifurushi cha startimes sasa nikawapigia kuuliza juu ya Uwepo wa channel ya Wanyama NGW na FOX.

Eti kadada kakaniambia kweli hizo channel hazipo sababu ya Mgogoro uliopo kati ya China na Marekani...! Nikasema duuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…