Startimes Mnatuchukuliaje?

Startimes Mnatuchukuliaje?

startimes was**nge sana, walianza kuondoa channel yangu pendwa ya SPARKS nikiuliza why naambiwa REFRESH ITARUDI (pumbavu kabisa) wakaja kutoa channel ya mubi za kihindi zilizotafsiriwa kiswahili sasa wameona haitoshi wametoa NATGEO,dawa yao ipo jikoni pumbavu zao
 
Mimi nilioiga simu airtel mdada akawa ananifokea mno.. niliumia sana maana machozi hua karibu sana mtu akinifokea.
Sitarudia kupiga sim tena
😂 😂 😂 😂 😂
Nisamehe rafiki yangu, nimecheka sana!! Kwahivyo mdada wa Airtel akakutoa machozi??
 
Mimi nilioiga simu airtel mdada akawa ananifokea mno.. niliumia sana maana machozi hua karibu sana mtu akinifokea.
Sitarudia kupiga sim tena
Wanaume Wa Kuchovya Bana ... DAAH So sad wanaume wa kweli tunazidi pukutika.
 
Back
Top Bottom