Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Nimechukia sana kuniuzia combo box wakati upande wa antenna haufanyi kazi na mimi nina antenna.
Nimekiweka kwenye box.
Very angry
 
Nimechukia sana kuniuzia combo box wakati upande wa antenna haufanyi kazi na mimi nina antenna.
Nimekiweka kwenye box.
Very angry
...
hako ka chombo kana nembo ya tbs?
ulisoma mkataba wa manunuzi?
Wapeleke tacra central ili uwe mwokozi wawengi kwa gharama zako.....
...
 
STAR TIME NAOMB kufahamu frequency za ST Swahili, St kids, st music na Clouds. natumia TV yenye kingamuzi ndani (ya sola)
 
Siku ya tatu leo channel zote zimekata kwenye king"amuzi cha startimes ,sio kwangu tu hadi kwa jamaa zangu hata sielewi.
 
Startimes Tz
Bei zenu kama dollars bora dollars inapanda na kushuka/endeleeni kupandisha tu Ila.......
 
Kila inapofika SAA mbili usiku lazima network zipotee ktk kig'amuzi chenu kwanini
Nipo Mwanza nyamagana Igoma
Card no.02035518375 asante
 
Rudisheni Tabibu, munashindwa kweli Ku renew mkataba na tabibu kweli? Mutafukuza wateja wengi tuu
 
mm king'amuzi changu kilikua kinaonesha vizur tuu mpaka majuz hapa lakin now naona tbc na star guide lakin local zingine zote nikiweka mfano eatv inaandika "cardproblem" .
 
Asanteni sana kwa kua karibu na wateja wenu sasa mim tatizo langu ni chanel za nyumbani sizioni ni wiki sasa zipo chanel mbili Eatv na startv tu namba yangu 02035479095
 
Startimes tatizo la king'amuzi changu hakioneshi list ya channels kila nikijaribu kusearch automatically.

Muda mrefu nilikuwa sikitumii na nilipotaka kutumia ndio nikakutana na tatizo hilo. Naishi Wilaya ya Kinondoni Kata ya Wazo Mtaa wa Kilimahewa. Namba ni 02035349729.

Naomba utatuzi wa changamoto hiyo.
 
mm king'amuzi changu kilikua kinaonesha vizur tuu mpaka majuz hapa lakin now naona tbc na star guide lakin local zingine zote nikiweka mfano eatv inaandika "cardproblem" .
...
Startimes hawarushi free to air kwa local channel kama wanavyodai tacra. Wanayarusha kama free to View. Hivyo hakikisha una kadi na kisimbusi chake. Hakiki na wakala wa startimes aliye karibu, siyo wauzaji baki.
...
 
...
fika nacho bamanga tbc tv makao makuu wa tatatua.
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…