Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Yakobo 1
13 Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu
Faiza acha kukalili!
Hili ndilo tatizo la kuokoteza vifungu vya Biblia Takatifu ili upotoshe maana.
Tatizo la Kiswahili ni kuwa kina msamiati finyu. Ipo tofauti kati ya 'trials' na 'temptations' lkn upande wa Kiswahili lipo neno mmoja 'majaribu'. The trials will test our faith. Lakini yule aliyekuta mke wa mtoto wake kulea yuko nusu uchi akamtamani sasa hiyo siyo trial ni temptation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona kwa agano la kale mnachomoa chomoa machache mnayoyapenda peke yake?? Kwanini msibebe yote...maana ni NENO LA MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu gani kilichochomolewa, halafu unahitaji hekima coz ukifuata kila kitu kwenye bible vingine hatuna uwezo navyo mfano hatuwezi kuoa wanawake 700 kama mfalme suleman
 
Watu wanashindwa kutofautisha kati ya kanisa moja katoliki la mitume na kaisa la roman katoliki. Katoliki maana yake ni 'lililoenea duniani pote'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakatoliki hawana tofauti na wafuasi wa Mo wote wamelishwa dini!
Huyu mmoja anakwambia Mungu ni Muislam
Huyu Mwingine anakwambia Yesu ndo kaanzisha kanisa katoliki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wanasema wanaogopa kulishwa matango pori[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wakati wamelishwa MADODOKI kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la kudandia vitu usivyoelewa! Shetani aliposhindwa kumshawishi Yesu, aliambiwa na Yesu kuwa asimjaribu Bwana Mungu wake. Kwani aliyekuwa akijaribiwa kule nyikani alikuwa nani?
Sasa ndugu yangu wewe unabisha nini na unatetea nini?! Baada ya Ibilis kumpeleka Yesu juu ya mnara, akamwambia "jitupe chini kwa maana imeandikwa atakuagizia Malaika wake ambao watakuweka mikononi mwao ili usvinjuke" na hapo ndipo Yesu akwambia shetani "..imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako!" Yesu anapomwambia shetani kwamba "imeandikwa usimjaribu Mungu wako" maana yake ni kwamba Mungu hajaribiwi, na ndicho alichosema FaizaFox!!

Sasa unakataa, ikiwa na maana Mungu anajaribiwa, au?

Kukujibu hapo kwenye bold, aliyekuwa anajaribiwa kule nyikani ni Yesu. Shetani kumwambia Yesu ajidondoshe kwa maana imeandikwa angeletewa malaika katika mazingira kama hayo, maana yake kumtii shetani kwa takwa lake hilo ingekuwa ni kumjaribu Mungu kuona kama angemletea hao malaika! Na ndio maana, katika majaribu yale, Shetani akafikia kumwahidi Yesu miliki za Ulimwengu endapo Yesu angemsujudia shetani na ndipo Yesu akasema "...nenda zako, shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, Umwabudu yeye peke yake." Hapo Yesu anamzungumzia Mungu yule yule ambae hapo kabla alimwambia shetani kwamba Mungu hajaribiwi!
 
Duuh pole sana, ubarikiwe ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo Katoliki limeingiaje? Aisee Muombe sana Roho Mtakatifu akusaidie jamani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinsi unavyojibu bado unamkosea Mungu, mjibu mwenzako kwa ustaarabu, hata anapokujibu kwa hasira hutakiwi kulipiza. Roho wa Mungu akupe wepesi wa kuwa mpole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…