Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Star times sio king'amuzi sahihi Kwa wapenda michezo. km huwezi DSTV basi nunua AZAM TV.
[emoji28][emoji28] Azam tv ukaangalie Namungo vs Ihefu??

Umuangalie Mandonga mtu kazi[emoji28].

Dodoma Jiji vs Kagera sugar mechi za saa 8 mchana jumatatu[emoji1787][emoji1787]
 
morogoro almost wiki nne channel hazishiki na remotes hazifanyi kazi mmekua kimya mkiulizwa hamna maibu yanayoeleweka hamjajali kutoa taarifa wala kuomba radhi infact mmefeli sana. now that mmerudisha huduma mna mpango gani na muda wetu na vifurushi vilivopotea bure? na mbona sioni channel mpya ya ROC namba 451 ambayo imeanzishwa hivi karibuni?
 
Mmmh

Wamenikatia wameniachia safari
M pia walinikatia nkawasiliana nao wakanieleza sababu kuwa nlikuwa sjalipia Kwa mda mrefu so wakawa wameupdate ving'amzi hivo na kuviondolea free channels Hadi ulipie kifurushi chochote kuanzia Cha elf 15 nkafanya hvo,baada ya kuisha kifurushi wakazkata ila baada ya kuwasiliana nao wakzrdisha had Leo zipo huu n mwez sasa
 
Mtaonyesha kombe la dunia? au msimu huu ni zero zero
 
Chanel gani mkuu? Je wataonesha kombe la dunia?
 
Naona itakuwa hivyo,coz sijalipia miezi minne sasa,
 
Hapa naona ni tunajisemesha tu. ....
No service imekuwa kama jadi..haswa Tdc na Tnt channel.... Mtafidiaje? Kama Tdc imekata kwanzia kumi na mbili jioni mpaka muda huu 00:44 bado na sio leo tu
 
Nina kisimbuzi namba 01832652990, kwanini channels za kitanzania zinashida ya kuonekana vizuri, wakati fulani zinakuwa kama nzito kufunguka kwa kuonekana kama inakatika katika, na zingine zinazima kabisa kama "Clouds TV"
 
Hivi mtaonesha kombe la dunia kweli,, mtuambie maana mmekaa kimya kule dstv wanaitangaza kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…