Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Azam imelala yooKampuni ya Star Media wamiliki wa Startimes wameshatangaza kwamba wataonyesha mechi zote 52 za AFCON Cameron kuanzia January, ila washindani wao kibiashara Azam media mpaka sasa wapo kimya, kama hawataonyesha watoe taarifa ili tusijisumbue kulipa, na tulipie Startimes kwa sisi wenye ving'amuzi viwili.
Wasije wakatufanyie kama kwenye kombe la dunia, watu tunalipia halafu wanakuja na mpango wa kuchagua mechi
uchocheziAzam imelala yoo
Azam hawana hela ya kurusha EPLNimetoka kucomment sasaaivi kwenye page yao...cjui azam wanakwama wapi ivi azam wanashndwa kupata vibali vya EPL kwel?? Kwa ukubwa walionao wangekua wanaonesha EPL si kila nyumba kungekua na Azam sasa wanatuletea Bundasliga ligi aina ata mvuto imepitwa mbali sana ata na Laliga....cjui wanakwama wapi kuweka EPL ligi namba moja duniani...haya ata hii Afcon inawapiga chenga Takataka kabsa
NB:Azam wanamchango mkubwa sanaaaa kwenye ligi ya bongo na Sekta ya michezo kwa ujumla
Startimes waweze wananini ? Labda kuna sababu kadhaa ila sio pesaKupata rights za kurusha EPL sio mchezo, hakuna televisheni ya Tanzania inayoweza kupewa hizo haki, wao warushe tu hii ligi ya mchangani labda na hiyo ya Ujerumani.
Usifikiri ni rahisi kiasi hicho. Dstv wana haki miliki kuonesha EPL kwa nchi zote za kusini mwa jangwa la Sahara.Nimetoka kucomment sasaaivi kwenye page yao...cjui azam wanakwama wapi ivi azam wanashndwa kupata vibali vya EPL kwel?? Kwa ukubwa walionao wangekua wanaonesha EPL si kila nyumba kungekua na Azam sasa wanatuletea Bundasliga ligi aina ata mvuto imepitwa mbali sana ata na Laliga....cjui wanakwama wapi kuweka EPL ligi namba moja duniani...haya ata hii Afcon inawapiga chenga Takataka kabsa
NB:Azam wanamchango mkubwa sanaaaa kwenye ligi ya bongo na Sekta ya michezo kwa ujumla
Siyo suala la pesa tu kuna mambo mengi Uingereza kwenyewe ni sky Sports na BT Sports pekee ndio wanaonesha na sio mechi zoteAzam hawana hela ya kurusha EPL
Sky sports ndio main broadcaster wa EPL. Sasa utasemaje kuwa hawaoneshi mechi zote?Siyo suala la pesa tu kuna mambo mengi Uingereza kwenyewe ni sky Sports na BT Sports pekee ndio wanaonesha na sio mechi zote
Sio HDKwa wanaotumia Azam waweza kuona mechi zote kupitia UBC TV.(Uganda Broadcasting Corporation).
Umemsoma kwa makini uliyemquote? Kazungumzia epl wewe unasema star times wameweza, haya nduguStartimes waweze wananini ? Labda kuna sababu kadhaa ila sio pesa
Mechi za EPL hazionyeshwi zote huko England ili waende uwanjaniSky sports ndio main broadcaster wa EPL. Sasa utasemaje kuwa hawaoneshi mechi zote?
Hii michuano huwa inaonyeshwa na free channel kibao hata kwenye Azam TV yatakuwepo tu. KBC, ubc, Rwanda tv, Malawi tv zote wanaonyesha
Tatizo sio HDHii michuano huwa inaonyeshwa na free channel kibao hata kwenye Azam TV yatakuwepo tu. KBC, ubc, Rwanda tv, Malawi tv zote wanaonyesha