Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Kampuni ya Star Media wamiliki wa Startimes wameshatangaza kwamba wataonyesha mechi zote 52 za AFCON Cameron kuanzia January, ila washindani wao kibiashara Azam media mpaka sasa wapo kimya.
Kama hawataonesha watoe taarifa ili tusijisumbue kulipa, na tulipie Startimes kwa sisi wenye ving'amuzi viwili.
Wasije wakatufanyia kama kwenye kombe la dunia, watu tunalipia halafu wanakuja na mpango wa kuchagua mechi