Mtangazaji alisemaje mkuu 😀Mara baada ya mtangazaji kusoma kichwa Cha habari za Tanzania matangazo ya BBC Swahili yalikatika. Kwa nini?
Yaan star tv wajinga sana Kwan iyo taarifa si ipo ulimwnguni?Mara baada ya mtangazaji kusoma kichwa Cha habari za Tanzania matangazo ya BBC Swahili yalikatika. Kwa nini?
Huyo mama damu za watu zitamutoa nduki hataamini siku hiyoHuo ndio uthibitisho kuwa vitendo hivyo viovu vinaratibiwa na kutekelezwa na Samia na genge lake la kihalifu
Kunguni wao wanayajua hayoo?Kutokana na habari za utekaji kutrend Leo kwenye vyombo vya habari hasa habari hiyo kurushwa na BBC. nikaamua niwafate BBC Swahili kupitia Star Tv Kila saa 3 kamili usiku. Cha ajabu hiyo habari ya utekaji imekwata na star tv muda huu na kuweka matangazo TU.
Aisee hii nchi ilikofikia na mbaya sana.
Wanamtandao legezeni kamba hakuna ukweli na mauaji ambayo hayatawekwa wazi.