Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Ni suala la mda hii nchi itakuwa kama Korea kaskazini ya kiduku
Kwa tunao amini tusome ZABURI 109 na ZABURI 35Kutokana na habari za utekaji kutrend Leo kwenye vyombo vya habari hasa habari hiyo kurushwa na BBC.
Nikaamua niwafate BBC Swahili kupitia Star Tv Kila saa 3 kamili usiku. Cha ajabu hiyo habari ya utekaji imekatwa na star tv muda huu na kuweka matangazo TU.
Aisee hii nchi ilikofikia na mbaya sana.
Wanamtandao legezeni kamba hakuna ukweli na mauaji ambayo hayatawekwa wazi.
Nilikimbilia huko mara baada ya kukata matangazo saa tatu kumbe ni saa nne.Asante sana kunifumbua macho.Angalia K24 ya Kenya kila saa nne usiku wana kipindi hicho pia.
Pumbavu sana hawaKutokana na habari za utekaji kutrend Leo kwenye vyombo vya habari hasa habari hiyo kurushwa na BBC.