State University of Zanzibar (suza)

Kila mtu anataka heshima MD😅
Hahahaha.

Naskia kuna kozi zina fursa ila watu hawazijui kama vile anasthesia,nursing,radiology na ile mtaalamu wa vifaa tiba sijui anaitwaje ile kozi.
 
Dental sahivi ndio course yenye opportunity kubwa sana kuliko hata MD, hivyo tegemea vyote kupata/kukosa kwani ushindani ni mkubwa sana
Aisee.

Hivi hii dental ni miaka mi5 ?
 
Jieleze vzr diploma umesoma kozi gani
Naomba kujua kama pale mbweni mtu mwenye G.P.A ya 3.0 C.O anaweza pata ?

Je mbweni hospitali wanatumia ipi ?

Ninatamani kujua zaidi kuhusu vyuo vya hapo zenji
 
Naomba kujua kama pale mbweni mtu mwenye G.P.A ya 3.0 C.O anaweza pata ?

Je mbweni hospitali wanatumia ipi ?

Ninatamani kujua zaidi kuhusu vyuo vya hapo zenji
Ndio anaweza kupata

Hospitali sana wanatumia ya mnazi mmoja jpo pia wengine hupelekwa Pemba field ikiwa mnazi mmoja kumejaa
 
Ndio anaweza kupata

Hospitali sana wanatumia ya mnazi mmoja jpo pia wengine hupelekwa Pemba field ikiwa mnazi mmoja kumejaa
Ada ya Md ni bei gani pale mbweni ?
 
Hahahaha.

Naskia kuna kozi zina fursa ila watu hawazijui kama vile anasthesia,nursing,radiology na ile mtaalamu wa vifaa tiba sijui anaitwaje ile kozi.
Umesoma guidebook ya TCU?na unajua clinical officer anarusiwa kusoma course gn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…