Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

'information' can be applied as 'evidence'. Yaani Information ni kapu kubwa... ndani yake imo Evidence.

As such, hakuna Evidence ambayo siyo 'information'.

It is just a matter of semantic... inategemea neno husika limetumika mahala gani.

With judicial/legal context, watatumia neno 'evidence'. With any other non judicial context, neno 'information' litatuma.

Bottom line: Each evidence must be information. But not each information is evidence.

-Kaveli-
 

Evidence is information which can be used to prove a claim/hypothesis/proposal.

USA has some information to prove that Makonda did so and so.

So, USA has evidence.
My QED
 
Sheria wanayotumia marekani kuzuia watu wajinga kama makonda unaijua? Inasema wakiwa na credible evidence au information? Je ili uite kitu kuwa ni evidence ni mamlaka ipi inatakiwa kutambua hilo? Acha uzwazwa utaolewa, unafikir kila MTU humu anaakili kama zako na makonda mchinja watu mpaka marekan ikamuona.
 
Ume reason kabla yakuongea?

Nani ni watchdog WA dunia?

Kati ya Tanzania na USA nani anaiona dar vizur?

Umewahi kukaribia ubalozi WA marekan, kuingia au kufanya kazi na mabosi wa mle ndan?

Fuatilia pia ushahid utakaopewa ukienda kumuombea visa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambana na Corona kwanza hayo ya makonda yanamhusu yeye na familia yake,kwanza Makonda si mwenzako,pmbana na hali yako na ya Corona
 
Mtasema sana Ila mwisho wa siku mtu mweupe akishasema jambo na kuamua kulifanya analifanya vilivyo,waulizeni wazimbabwe?hadi leo wana taabika kama mbuzi waliokosa mchungaji..
Mpaka wamekubali kurudisha kwa wazungu mashamba waliyoyanyang'anya.
 
Kwenye uzuwiaji wa mikutano ya kisiasa lakini hujauona utata umeuona kwenye nchi ya watu kumzuwia mtu kuingia nchini kwao ambapo huwachangii hata senti 1 wa kuendesha nchi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…