Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information

Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information

Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote

"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".

Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria

Umejiridhisha vipi kuwa hawana Credible Evidence? Maana wamesema wizara yao sio ile press release ina Credible evidence.
 
Mkuu kuna ushahidi wa picha, video ,sauti viongozi wetu wakitamka na kutenda.Mengine kusigina katiba yetu mfano ..." Nikuteuwe ,nikupe gari.....umtangaze mpinzani..."

Sent using Jamii Forums mobile app
Je ni kweli walituma drones kufuatilia masterminder wa uhalifu huu? Je wamepata wapi credible information? Credible information inaweza kutumika kuzaa credible evidence?
 
Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information

Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information

Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote

"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".

Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
Ndio maana nashauri makonda aonane na balozi waongee, wamweleze hizo fact walizonazo usijekuta mabarua ya akina zitto na Lissu yametapakaa ubalozini
 
Umenena vyema mkuu
Makonda ndio watanzania? Maana title inazungumzia watanzania content Makonda. Wenye travel ban ni bashite na mkewe hawapewi visa, watanzania, kwa uzwazwa wenu nyie wachache, wamezuiliwa kushiriki greencard lottery visa....visa nyingine tunapewa.

You guys are dragging this country to the dregs... damn all of you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mnataka aende huko? hivi mtu kama hakutaki kwako unang'ang'ania nini kujitetea? Hilo zuio la Makonda inamadhara gani kiuchumi kwa Tanzania?
Mleta mada mburula Sana,
Mtu hataki uende kwake, Wewe unaaza kuangalia vipengele kama ana uhalali wa kukukataza ama lah, ujinga huu. Unaanza kuangalia maneno aliyotumia kama kuna ka -loophole labda ameteleza ama lah.

Yaan hata Pompeo angesema tu hataki Makonda aende US hata bila kutaja Sababu still tamko ni valid, Sababu kule ni kwao Pompeo, na Makonda Sio kwao kule.
 
Mtasema sana Ila mwisho wa siku mtu mweupe akishasema jambo na kuamua kulifanya analifanya vilivyo,waulizeni wazimbabwe?hadi leo wana taabika kama mbuzi waliokosa mchungaji..
Bora kutaabika kuliko kisamvu kuliwa na beberu
 
Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information

Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information

Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote

"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".

Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
waruhusu wewe waende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda ana maeneo mengi ya kwenda. Mfano Rukwa, Manyara, Dodoma, Shinyanga nk. Siyo lazima aende USA
 
Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information

Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information

Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote

"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".

Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
Kwa hiyo umetengua zuio hilo mzee.
 
Au aende Mahakama ya Kisutu kukata rufaa
Hilo tamko Marekani linaweza kuwa challenged vizuri tu mahakamani na mtu akashinda mapema asubuhi .Hilo hata akikabidhiwa immigration lawyer aliyemallza chuo juzi anaibwaga chini serikali ya marekani
 
Huku ndiko mnakojua kutumia sheria kwingne mlikuwa mnatumia nn??
Acheni kuruka ruka hi sindano itamuingia Kila muhusika hvyo tulien tuu mkiwa The Hague hayo maswal yatajibiwa huko
Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information

Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information

Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote

"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".

Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
 
Mtasema sana Ila mwisho wa siku mtu mweupe akishasema jambo na kuamua kulifanya analifanya vilivyo,waulizeni wazimbabwe?hadi leo wana taabika kama mbuzi waliokosa mchungaji..

.........halafu aliyewasababishia yote hayo yumo kaburini, wao walio hai wanataabika!!

.........hata sisi wa-Tanzania tusipokuwa makini na kuchukua hatua haraka za "kiroho" hawa mawakala toka "kuzimu", watamaliza mission yao na kufa na kumezwa na makaburi, na kutuachia sisi tulio hai taabu na mahangaiko!!

........TUSIKUBALI, TUWAKATAE SASA BEFORE it's too late!!
 
Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information

Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information

Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote

"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".

Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
Sawa mchukue huyo Bashite wako mkaombe visa ya kwenda USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna shida na Wamarekani, ila hatuwezi kuruhusu nchi yetu ikakubaliana na Ushoga wa Wamarekani
Wao wamekuomba ukubaliane na mambo yao? wao wamekuambia hatutaki tukuone kwetu, wewe unaweweseka nini? mpaka unaanza kujitafutia vijisababu vya kijinga kama vile vya jamaa wa reli na mataruma na wasafirishaji wa mabasi wilayani kwake.nyie ndio walewale wa sizitaki mbichi hizi hali unaendelea kuzimezea mate.Kaa kimya endelea na shughuli zako ukisubiri agizo lingine kutoka kwa mkubwa.Nchi hii ni tajiri na inajitosheleza ina fedha za kutosha.
Jana imepita........
 
Back
Top Bottom