Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

Kwenye Sheria Kuna vitu viwili Kuna Credible evidence na credible information

Marekanii Walichonacho sio credible evidence Wana credible information

Statement yao kifupi eneo lenye utata hii Hapa na I quote

"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.'

Kwa kuwa hawana credible evidence Wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali Wala nguvu kisheria
Makonda tokalini umesoma sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hili.la wao kutumia credible information badala ya credible evidence si tu nimemzidi akili Pompeo bali nimemzidi akili hata Donald Trump aliyesaini hiyo statement
Huna mbele wala nyuma unakula kwa shemeji yako uwe na uwezo wa kumzidi akili Pompeo , Mkurugenzi wa Zamani wa C.I.A...

Kweli hii nchi ugumu wa maisha unazidi kuwafanya raia wake kuwa machizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is just the beginning... Itakapokuja swala la mahakamani hakutakuwa tena na credible information bali credible evidence... Huwezi kuzungumzia ushahidi muda huu wakati hakuna mashtaka rasmi
I agree but decision was supposed to be done basing on credible evidence not credible information

Jr[emoji769]
 
This is just the beginning... Itakapokuja swala la mahakamani hakutakuwa tena na credible information bali credible evidence... Huwezi kuzungumzia ushahidi muda huu wakati hakuna mashtaka rasmi

Jr[emoji769]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huna mbele wala nyuma unakula kwa shemeji yako uwe na uwezo wa kumzidi akili Pompeo , Mkurugenzi wa Zamani wa C.I.A...

Kweli hii nchi ugumu wa maisha unazidi kuwafanya raia wake kuwa machizi

Sent using Jamii Forums mobile app
ingekuwa ni kile kiswahili cha zamani huyu jamaa tungemwita hohehahe![emoji38][emoji38][emoji38]
 
This is just the beginning... Itakapokuja swala la mahakamani hakutakuwa tena na credible information bali credible evidence... Huwezi kuzungumzia ushahidi muda huu wakati hakuna mashtaka rasmi

Jr[emoji769]
Therefore Makonda yuko free kusafirii kuingia Marekani apendavyo mpaka hapo watakapokuja kuwa na.ctedible evidence
 
Kwenye Sheria Kuna vitu viwili Kuna Credible evidence na credible information

Marekanii Walichonacho sio credible evidence wana credible information

Statement yao kifupi eneo lenye utata hii Hapa na I quote

"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.'

Kwa kuwa hawana credible evidence Wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali Wala nguvu kisheria
Ulitaka waweke wazi na hizo "credible evidence" kwani wako mahakamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie baada ya kumshauri mwenyekiti wa chama amtoe makonda bado mnataka kuvimba endeleeni mkumbatia tu watu wamesema wana ushshidi ngojeni sasa afunguliwe mashikata waje mkamata jua la saa saba mchana ndio mtajua cheo ni dhamana
 
Back
Top Bottom