Kwenye Sheria Kuna vitu viwili Kuna Credible evidence na credible information
Marekanii Walichonacho sio credible evidence Wana credible information
Statement yao kifupi eneo lenye utata hii Hapa na I quote
"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.'
Kwa kuwa hawana credible evidence Wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali Wala nguvu kisheria
Some people shida sana. Sheria wamekupa wao! Demokrasia wao! uliyajua haya bila wao kukutoa matongotongo? jua wako juu ya sheria!! funguka!!!
Magu anapindisha sheria, maksudi hana uelewa wa kina au amesahau alisoma nini zamani!, sembuse wao mabeberu? kama Nyani ni hayawani!
Siyo maneno yangu, ni wao wanawaita Nyani! na ukiangalia wako sahihi! Serikali zenu hazijali utu wa watu wake! ni wanyama! wanahitaji kufundishwa zaidi.
Kama Rais wenu, tena msomi graduate hajui umuhimu wa kuongoza kwa misingi ya Katiba! Demokrasia, shule zetu zina matatizo! lazima afundishwe upya na kwa vitendo na Baba wa Demokrasia!
Kituko kingine hiki Rais huyu ni zao la Mlimani haiepukiki, amefundishwa na sisi, ma professor wenye njaa! roho mbaya! Mtu una fundishwa, una pass kwa mbinde! nchi lazima ipate Mikosi!
Angalia viongozi wa miaka ya enzi za kudai Uhuru, Wengi walikuwa so Smart, walijitoa wakaijua Demokrasia, mpaka leo tunawakumbuka Africa, km Chenge, Nyerere, Lumumba, Mtei, Jomo, Nkrumah nk, hawa ni mazao ya Yale na Oxford Univer nk,