Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulieni wakati waja na hauko mbali mtaonyeshwa kila kitu, zipo video footage za kuanzia msafara Dar-Dodoma na kila kilichojiri sijui mtaweka wapi nyuso zenu. Ni bora mngekaa kimya, hiyo chimbu chimbu yenu mtatoka na nyoka. Hawa jama mpaka kutoa statement ile wamekusanya ushahidi wa kutosha usiokuwa na shaka.Wame quote vifungu vya sheria vya kumpiga ban halafu ilipofika kwenye tamko wanasema Wana base kwenye credible information !!!! Kukitekeleza kifungu Cha sheria unatakiwa kubase kwenye credible evidence sio credible information.Trump na Pompeo wamechemka hiyo statement haina nguvu kisheria
Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information
Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information
Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote
"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".
Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
Hana jeuri hiyoTherefore Makonda yuko free kusafirii kuingia Marekani apendavyo mpaka hapo watakapokuja kuwa na.ctedible evidence
Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information
Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information
Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote
"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".
Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
Mmmm hadithi hii alikufundisha Nani kijiwe Cha chadema mkishapuliza bangiTulieni wakati waja na hauko mbali mtaonyeshwa kila kitu, zipo video footage za kuanzia msafara Dar-Dodoma na kila kilichojiri sijui mtaweka wapi nyuso zenu. Ni bora mngekaa kimya, hiyo chimbu chimbu yenu mtatoka na nyoka. Hawa jama mpaka kutoa statement ile wamekusanya ushahidi wa kutosha usiokuwa na shaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information
Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information
Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote
"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".
Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
Bangi inakufaa wewe unayejitoa ufahamu kutetea upumbavu. Inahitaji akili ya mwendawazimu kuisapoti CCM.Mmmm hadithi hii alikufundisha Nani kijiwe Cha chadema mkishapuliza bangi
Say no to bangi
Watalitekeleza hivo hivo.Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information
Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information
Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote
"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".
Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
Haya mwambieni Bashite akaombe VISA atapataKwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information
Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information
Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote
"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".
Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information
Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information
Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote
"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".
Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
Akili za Ki Lumumba bana,Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information
Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information
Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote
"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".
Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
Kwahito Zuio lao kwa makonda ni batili?? Kesho msindikize Makonda USAKwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information
Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information
Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote
"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".
Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
Hawa ndio akina Ole Sabaya, Mrisho gamble na Akina Happi wanajaribu kumtia moyo mpendwa wao imeshabackfire.Akili za Ki Lumumba bana,
Hivi kukutaza wewe usije kwangu nahitaji sheria yoyote? Yaani niwe na either information au evidence au hata nisiwe navyo hata kimojawapo nikijiskia tu wewe usije kwangu nina haki na uwezo wa kukuambia.
Kwanini Pompeo asitekwe au apewe kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji wa "makatazo"?Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information