Stationery kukosa flash na usb ni ajabu

Stationery kukosa flash na usb ni ajabu

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Umeanzisha stationery machine zote muhimu unazo isipokiwa flash na usb Leo flash Hadi buku 5 unapata usb 1500 kwa 2000

Unajikuta unakosa jero ya wateja bure printer ya Epson 300-400k, photocopier ya canon 700-1000k na vikorokoro vingine unakosa usb na flash
 
Mambo yamebadilika sana siku hizi wengi twahifadhi taarifa kupitia simu, ukifika unawasha Bluetooth/ share point etc unahamisha na kupokea document
 
Mambo yamebadilika sana siku hizi wengi twahifadhi taarifa kupitia simu, ukifika unawasha Bluetooth/ share point etc unahamisha na kupokea document
Hiyo kwa printer chache sana muhimu wawe na vitu hivyo kuna watu wanatembea na laptop anakuja stationery unakuta watu wanatumia madeakyop hayana Bluetooth hata flash ya gb2 kwa ajili ya kulipia document inakoseka a kweli? Huu ni uvivu
 
Ss si ungewaambia iyo stationary ya mtaani kwenu kama hawana iyo USB wanunue mpk uje uwaseme humu aisee vijana mmehamishia umbea kwenye jamii forum ss kila kitu unaleta huku
 
Tukienda stationery kupiga kazi vitu vyote tunahamishia kwenye sim tu

Ova
 
Back
Top Bottom