Stationery Store / Business Centre

Stationery Store / Business Centre

Mkuu hapo kwenye red kunaibua maswali mengi kuliko majibu :suspicious:. Ninachoweza kusema ni kuwa, sio kila kitu kipo kama kinavyooneka.

Hapo kwenye blue imekaa vizuri sana, na kwa sasa jamaa anaweza akajisajili GPSA (Government Procurement Services Agent) ili atambuliwe kama supplier baada ya kujaza zile bidding documents kama hiyo hapo chini

Kaka ni kweli si kila kitu kipokama kinavyoonekana, lakini kwa mujibu wa yeyemwenyewe ni kuwa "stationeries zimenitoa kwenye umaskini", na kama kuna mambo mengine nje ya hizo basi mimi sifaham!
 
Michango yenu nimeipenda sana pia imenijenga kwa kiasi kikubwa kuendelea na biashara hii.Kifupi mimi nko kwenye hii biashara huku nikiwa nimeajiriwa muda wangu wa ziada nimekuwa nikiutumia kusimamia.Kwa kuwa mimi ni fundi sio photocopy wala printer, nimekuwa nikijifunza kwa hali na mali kupitia mitandao mbalimbali huu ufundi wa hivyo vifaa .Na kimoja kati ya vitu vinavyokwamisha watu kwenye hii biashara ni mafundi wa copy na printer.kwani stationery nyingi utakuta copy mbovu. na bila photo copy nzuri hakuna biashara. Ukimwita fundi inaweza kuchukua week na akija akitoka machine inasumbua tena.kwa hii biashara simshauri mtu asiyejituma kuifanya atachanganjikiwa.

N.B. niko mbioni natafuta frem niweze kufungua stationery ya tatu,tatizo kubwa bei ya frem.
 
Mkuu upo sahihi ila umejikita sana kwenye "Secretarial Bureau". Kwani hujawahi kuona stationery ambazo hazitoi huduma ya photocopy?
 
Wajasirimali hapa mmekuwa watoa mada kwa uwazi bila kificho na kusaidiana kupeana mawazo na kuchangishana fikra mpya katika kuimarisha biashara hizi.

Kwa nyongeza tu kama eneo ni zuri, inafaa biashara mnayoongelea kuwa na malt purpose, huduma nyingi kama photo copier huwezi kuiweka kando na hata kama kuna matatizo ya kuharibika mara kwa mara. Kibiashara unatakiwa uwe na fundi wako maalumu ambaye una mkataba wa kutengeza na kuzifanyia service machine zako. Lakini hii ya kutegemea mpaka iharibike ndipo umtafute fundi hapo fundi atajifanya ni adimu na ghali zaidi. Bora uwe unatoa ndogondogo za service na inapoharibika ukimwita atakuja mara kushughulikia. Hili ni jambo la kawaida po pote duniani kwa wafanya biashara wastaarabu na waungwana.

Computer Cafe nao ni mhimu kwa vile itasogeza watu zaidi na papo siku ukikosa mauzo ya kawaida kidogo utakipata toka Cafe. Usisahau kuweka cooler ya vinywaji baridi na vitafunio kwani navyo huwafanya wateja wavutike.

Kwa vyo vyote tusitegemee kuanza biashara kubwa sana zenye mitaji mikubwa bila kuwa na uzoefu wa kuendesha kwanza hizi ndogo ili kupata uzoefu. Na pengine ukishazoea utaona afadhali kufungua zaidi matawi ya biashara ndogo ndogo kwa vile easy to manage badala ya kubwa yenye kuhitaji makubwa zaidi na kukupa stress kila leo.
 
Asante sana kwa ushauri wako mkuu, service ni kitu cha muhimu sana, na vilevile ku integrate vitu vidigo vidogo vya kuongeza traffic kwenye biashara kama aina hii ni kitu kizuri pia.
 
Wakuu michango yenu inasubiriwa kwa hamu, feel free ku-share experience zako please.
 
Wakuu michango yenu inasubiriwa kwa hamu, feel free ku-share experience zako please.

Mkuu mimi nawashukuru kwa michango yenu maana kuna mtu wangu karibu alikuwa ameliweka mezani hilo lakini sikujua nianzie wapi. Amenunua kompyuta akawa anaomba ushauri. Naomba angalau munisaidie kujua ni vitu gani muhimu vya kuanza navyo kwa mtaji wa 2millions
 
FI umepewa mawazo ya kutosha nashauri uyafanyie kazi uonje matunda yake
 
Mkuu mimi nawashukuru kwa michango yenu maana kuna mtu wangu karibu alikuwa ameliweka mezani hilo lakini sikujua nianzie wapi. Amenunua kompyuta akawa anaomba ushauri. Naomba angalau munisaidie kujua ni vitu gani muhimu vya kuanza navyo kwa mtaji wa 2millions

2millions huwezi kufanya lolote, mwambie aongezee hela kidogo at least aanze na 5mil hata subiri sana kuanza kuingiza faida na kutanua biashara yake.
 
Mkuu mimi nawashukuru kwa michango yenu maana kuna mtu wangu karibu alikuwa ameliweka mezani hilo lakini sikujua nianzie wapi. Amenunua kompyuta akawa anaomba ushauri. Naomba angalau munisaidie kujua ni vitu gani muhimu vya kuanza navyo kwa mtaji wa 2millions

Kama anaweza aongeze mtaji mpaka 5M kama alivyosema mdau hapo juu, kama hana uwezo wa kujivutavuta asikate tamaa na kujikuta akinunua nguo na vipodozi hiyo M2 yake ikapotea.

Haujaeza vifaa alivyonavyo tayari, na kama tayari ana eneo la biashara liko sehem gani.
Kama hana kitendea kazi chochote itakuwa ngumu sana kuanza na 2m, hasa kama bado hajalipa pango, labda inategemea na mahali alipo. Kama yeye anautaalam wa mambo ya secretarial, na akapata ofisi karibu na taasisi ya elimu na vitu kama hivyo, hiyo 2m Anaweza kununua desktop used kwa around 300k, laserjet ndogo kwa 150k, photocopier used kwa 800k?, spiral binder50k, scanner50k na vitu vidogovidogo kam stapler, makaratasi,modem nk, baada ya hapo anaanza kazi kwa kiasi kidogo namna hiyo, atapata kazi ndogondogo za kuchapa na kuprint; mwanzo haitakuwa na faida sana au hata hasara, lakn kadri muda unavyokwenda kutokana na ujanja wake wa kutafuta kazi kwenye taasisi na utendaji kazi wake wa uaminifu atajikusanyia wateja na kuongeza kipato, na hatimaye kuongeza mtaji.
 
Wakuu nani anajua ufanyaji wa hii biashara je ni wapi watu hununua vitu ili waviuze kwenye stationery zao na ni vitu gani vinavyotoka zaidi.

Kwa ujumla biashara hii inafanywavipi, ndugu yangu wa karibu anataka kuanzisha biashara hii na mimi niwe partner wake lakini sina ufahamu juu ya biashara hii.

Natanguliza shukrani.
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuri
 
Mkuu sipo kwenye biashara hii kwa sasa ila nilishawahi kuifanya kwa kipindi fulani huko mikoani. Katika Business Plan zangu, huwa ninaweka exit stratergy, hivyo baada ya kupata kile nilichokitaka ktk biashara hii someone else took over. Na kwa sasa biashara imekuwa sana, lakini nikikusimulia namna ilivyoanza, unaweza usiamin (its very motivational).

Kwa uzoefu wangu, (huku Site) biashara hii unaweza ukaianza na mtaji mdogo (3m to 4m) na bado ukafanikiwa (lakin ni kama matumizi yako hayatazidi mapato yako). Wengi walianza na mitaji midogo, halafu wakawa wanawekeza ile faida inayotengenezwa kama mtaji. Kwa hiyo nikutoe wasiwasi na huo mtaji wako wa 15M. Challenge kubwa kwa hapa Dar ni RENT na mahali muafaka pa kufanyia hiyo biashara

Pia ninakushauri ufanye kitu inaitwa DEBT FINANCING, itakusaidia sana kwenye masuala ya kodi huko TRA. (Geuza huo mtaji wa 15m kama mkopo kutoka kwenye familia au rafiki). Hii itakulazimu kufanya deductions (principal + interest) kwenye mapato yako. Hivyo itakupunguza taxable income kwa kipindi cha marejesho. Kama utahitaji Tax Planning Measures zaidi (for tax saving purposes tena legally) unaweza ukaniPM

Kuhusu namna ya kulipa mshahara
Hili suala (kwa biashara hizi) kila mtu huwa analiangalia anavyoliona kulingana na ukubwa wa biashara pamoja na mapato yake kwa mwezi, bila kusahau ujuzi wa mfanyakazi husika. Personally, huwa napenda kutumia "performance indicators" kama njia ya kumlipa mfanyakazi, lakini huwa silipi chini ya Minimum wage ya serikali. Na allowance kama ya nauli na chakula (akiwa kazini) ni muhimu kama sivyo elewa kuwa atachukua mwenyewe kwa njia nyingine

N:B
Compliance ni muhimu sana, hivyo nakushauri usajili biashara yako katika mamlaka zinazohusika (itakusaidia kwenye mambo ya kibenki, utaepuka usumbufu na utajenga image nzuri kwenye jamii. Na kubwa zaidi utashiriki katika ujenzi wa Taifa lako kupitia Kodi yako.
Mamlaka zinazohusika ni BRELA, TRA na Local Government Authorities (kwa case yako ni Manispaa ya Kinondoni)
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuri
 
ab4f466152ae973ae000af78d6f11ba4.jpg
wahi ofa
 
Back
Top Bottom