Status ya ajira portal leo tarehe 08.10.2021

Status ya ajira portal leo tarehe 08.10.2021

Msikae utumishi tu, huku TaNeps zipo zimejaa telee
 
Youth unemployment ni ticking time bomb. Ndo itawaondoa CCM madarakani kupitia maandamano. Muda huo unakuja
 
Hivi wapo serious kuupdate au kuna ajira za kuunganishwa juu kwa juu bila kuwekwa
 
Lakini kila mwezi watu wanapangiwa vituo vya kazi maeneo mbalimbali na hao portal

Unataka kila siku numbers zisome Kuna ajira 1,2,3 na kuendelea?
 
Lakini kila mwezi watu wanapangiwa vituo vya kazi maeneo mbalimbali na hao portal

Unataka kila siku numbers zisome Kuna ajira 1,2,3 na kuendelea?
Tulitaka zijapange Kama mapumbuh yaani ziwe mapacha Kama ovary au mshazali ingawa ikiwa imekaa Kama mlalo inakua iko kitaalam na mapulizo ya kudisco nalipua.
 
Back
Top Bottom