Statutory Protection of Customary Marriage in Tanzania

Statutory Protection of Customary Marriage in Tanzania

PrN-kazi

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
2,900
Reaction score
444
Wasomi wenzangu:

nataka niandike Legal Paper juu ya Mkanganyiko ninaouona kati ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 na Sheria nyinginezo zinazoshughulikia maswala wa wanandoa hapa Tanzania.

tukiachilia ndoa tulizozioea hapa Tanzania na zinazotambulika kwa mujibu sheria husika zipo pia Ndoa zinazotambulika na wanajamii kama ndoa za kimila.n.k; katika hizi nimejaribu kuangalia kwa.makini na nikagundua kuna haki kadhaa wanandoa walio ktk makubaliano ya ndoa za kimira wana zikosa. mfano unakuta mtu anahishi na mwenzi kwa miaka zaidi ya mitano lkn linapokuja swala la kuhudumiwa kama wana ndoa inashindikana. hii unaweza kuiona pale mtumishi wa umma unapoomba aidha likizo akitaka ahudumiwe yeye na familia yake(mke na watoto) na kukataliwa kisa ndoa yake haitambuliki Kikanisa, kiislamu ama kwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya.....sasa Hoja yangu ni KWANINI HIZO NDOA ZA KIMILA ZISITAMBULIWE MOJA KWA MOJA???? na ndo maana nikaja na Title ya Namna hii STATUTORY PROTECTION OF CUSTOMARY MARRIAGE IN TANZANIA.

katika hili naombeni msaada wenu kwa mawazo na approach gani niitimie ili niibuke na PAPER NZURI.
 
Back
Top Bottom