Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Umetumia akili nyingi sana mkuu kwenye kujipigia asisti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeahh sureKama anapiga pesa kimya kimya ni jambo zuri sana. Watanzania wanga sana walimfanyia uchawi Mbwana Samatta pale Aston Villa kutwa kwenye DM za wachezaji wenzake wanawatukana hawampi pasi Samatta hadi akaachwa msimu mmoja tu.
Ukiona unapiga pesa na Watanzania hawana muda na wewe ni jambo la kushukuru sio kusikitika.
Nilicheka Dora na Hamis walivyong'ang'ania kupiga picha na Rais halafu wakakataliwa😂Ila Tanzania nani katuloga uwiiiiiiiiiiiii
Jana mtu anapanda kuchekesha ni mama mama mama mama mama mama
Ni binti mmoja wa kikurya yule Neila Manga ndo aliendelea na ishu zake..
Mishamba ile...Nilicheka Dora na Hamis walivyong'ang'ania kupiga picha na Rais halafu wakakataliwa😂
Kila mtu anataka picha na rais hadi kero.
Nilitamani niingie kwenye Tv nikaibe bahasha kwa mama Samia😂Mishamba ile...
Elimu nayo inasaidia..ww ona walioomba picha utaelewa vichws vyao
Kiongozi anayechekesha kuliko wote🤣Hivi Mhe.Makongoro Nyerere alipewa tuzo ya category gani vile?
Nipo hapa naangalia marudio nicheke tena.Aisee
Wako sawa. Ila kuna Mhe.Chalamila yeye lile bichwa na sura yake tu vinachekesha hata kabla hajaongea. Sura ya mende kabisa ile.Kiongozi anayechekesha kuliko wote🤣
Nilitamani Chalamila ashinde.Wako sawa. Ila kuna Mhe.Chalamila yeye lile bichwa na sura yake tu vinachekesha hata kabla hajaongea. Sura ya mende kabisa ile.