Staying Apart.... Dawa ya Long Lasting Marriage........

AD hapo kwenye red sijaelewa! uongo kivipi maana kuna uwongo wa aina mingi sio!?
 
mmmhhh hii rule safi lakini si dhani ka itafanya kazi kwa watu wengi sana ..
watu wengine wanapenda kubadisha tu mazingira ka hali ni ngumu kidogo...
ila wako 24/7 pamja lakini ..
mambo ya nyumbani yakiwachosa wanachukua holiday wote,,
AD
I know change of scenes inasaidia... lakini unajua mnapokuwa wote binadamu kuna saa mnakwazana, migongano always ipo... petty things become big.... am not talking about kuwa mbali kila wakati lakini kupeana some me time....
 
sawa mi nakubaliana nawe ...
lakini kwa maisha haya ya sasa hata muda huo wa kuwa wote hamna .( sijui wenzangu)
lakini kwa familia ya kawaida mnawapeleka watoto shule asubuhi...
na nyie wote mnatimua kazini .. mkirudi jioni watoto wanafanya homework nyie wawili mnapika jioni...
mkimaliza chakula cha jioni ni nyie na watoto....
yaani muda waku spent weye na partner wako ni huo usiku tu....
na weekend, mtoto huyu ana netball sijui huyu ana soccer na yule ana rugby ...
muda hakuna ..
sasa kweli unataka kukambali na partner wako baada ya yaha yote..

na kama hujaoa na tayari unataka kuanza holiday
eti kwa sababu umechoka kukaa na girlfriend/partner ..
hapo kuna hatari tayari..

duuuhh samahani ka nimekuboa

AD
 
.. mkirudi jioni watoto wanafanya homework nyie wawili mnapika jioni...
mkimaliza chakula cha jioni ni nyie na watoto....AD

This is the best case scenario unayoongelea..... tena hadi kupika wote jikoni.... thats great..... Majority ni baba ukifika nyumbani ni malalamishi tuuuu....... mpaka hapo mnaposinzia..... ukiamka anaanzia pale alipoachia jana...... Lakini you have painted a picture of wapenzi wawili ambao they are busy (working parents) in this case this is an exception.... which normally here you need some holidays together, for refreshing and recharging......
 
hahahhaah lol im so happy and im glade we did come to an agreement..
mmmhhh ni lazima mwingie jiko pamoja huo ndo muda wakuongea za kazi na mambo yaliyotokea siku hiyo..
maana baada ya watoto kwenda kulala huo ndo muda mtakatifu hahah lol

AD
 
kwenye bold afro umenichekesha mchana huu mwe, na hii ndio raha ya JF

mimi nadhani watu wengi wanaoona wanakuwa hawapendani kwa dhati ndio maana ndoa zinakuwa zina mushkeli kama mnapendana kwa dhati hata mkiwa karibu mtadumu tu ila kama ndio mlioana mmoja amemlazimisha mwenzie hii ya kukaa mbali nadhani itasaidia
 
dah kweli kabisa kama wote mko busy na mna watoto kwa kweli huo muda wa kukaa mkagombana sidhani kama utakuwepo mkiondoka asubuhi kazini mkirudi mmechoka jikoni mara watoto kwa kweli muda wa kuwa na wote ni usiku tu wakati wa kulala
 
mmmhhhh yaani dada Maty hapo umenena kabisa yaani ..
yote ni kuhusu upendo tu ...

hahahahah lol umenichekesha hiyo ya kumlazimisha mwenzie lol
kwa kweli kuna raha duniani
nani nakubaliana nawe kukaambali itakuwa solution ...

lakini mmmhhhhh uje uwende holiday ukutane nakijana mweusi, mrefu, anama dimpose ukiangalia kifuani kajazia, tumboni ana six pack...
halafu we huku nyuma huna uhakika unampenda uliyenae si balaa tu hapo ndugu yangu...
 
dah kweli kabisa kama wote mko busy na mna watoto kwa kweli huo muda wa kukaa mkagombana sidhani kama utakuwepo mkiondoka asubuhi kazini mkirudi mmechoka jikoni mara watoto kwa kweli muda wa kuwa na wote ni usiku tu wakati wa kulala

mmmmhhh kwanza na makelele yote ya watoto yatawachosha halafu na nyie muanze kugombana tena..
hii si haki....
kwa kweli situnapunguzia siku za kuishi na makelele yote hayo...
 
mmmmhhh kwanza na makelele yote ya watoto yatawachosha halafu na nyie muanze kugombana tena..
hii si haki....
kwa kweli situnapunguzia siku za kuishi na makelele yote hayo...

kwanza hata hiyo nguvu ya kugombana utaitoa wapi mpenzi? mimi ninavyorudigi nimechoka halafu ukutane na sijui kupika mara watoto mimi sidhani kama unaweza pata hiyo nguvu ya kugombana
 
kwanza hata hiyo nguvu ya kugombana utaitoa wapi mpenzi? mimi ninavyorudigi nimechoka halafu ukutane na sijui kupika mara watoto mimi sidhani kama unaweza pata hiyo nguvu ya kugombana

ni kweli kabisa dada Maty..
ukirudi kutoka kazini huna hamu, halafu unamajukumu ya hapo nyumbani yanakusubiria.... sasa kugombana ni kazi ya ziada ambayo haina msingii..

kweli wana ndoa wanagombana every now and then....
lakini mi naona ni borea tufanye ka bibi zetu vile ..
mnaongele kuliko kutupiana maneno...
 
hapo red hapo , nimeread beside ze lines, hehehe acha nipige muniwoka za maiko jakson kusherehekea ushindi.
 
hapo red hapo , nimeread beside ze lines, hehehe acha nipige muniwoka za maiko jakson kusherehekea ushindi.

hahahahhahahahahahahaha lol
siunaona jinsi ninavyo kukumbuka hahahahah lol
hayabwana we endelea tu kupiga kimya.......lol

mmmmhhhh i like he dance lol
 
Wacha uongo mkuu!
 
hahahahhahahahahahahaha lol
siunaona jinsi ninavyo kukumbuka hahahahah lol
hayabwana we endelea tu kupiga kimya.......lol

mmmmhhhh i like he dance lol

hapo nilikuwa nazindua albamu langu jipya, concert video zangu nakuwaga siziweki hazarani. una bahati kweli wewe mrembo! tusemeni AMEN
 
hapo nilikuwa nazindua albamu langu jipya, concert video zangu nakuwaga siziweki hazarani. una bahati kweli wewe mrembo! tusemeni AMEN

hahahahahahahaha lol mmmmhh kumbe unanikumbuka kiasi hichi mmmhhhh najisikia vizuri sana..
im the special one hahhaah lol :amen::amen::amen:
 
hahahahahahahaha lol
mmmmhh kumbe unanikumbuka kiasi hichi mmmhhhh najisikia vizuri sana..
im the special one hahhaah lol :amen::amen::amen:
hehehe katika memori card yangu kuna 8 GB speshel for afrodenzi memories, nategemea kui upgrade to unlimited. heheheeh i hope mai waifu sio memba wa JF, adhawaizi nimekwisha!
 
hehehe katika memori card yangu kuna 8 GB speshel for afrodenzi memories, nategemea kui upgrade to unlimited. heheheeh i hope mai waifu sio memba wa JF, adhawaizi nimekwisha!

hahahahah lol mi tayari nishakuwa na unlimited mmmmmhhhh
umenichekesha sana hapo kwenye wafiiii..lol
labda ndo mimi hahahahahha lol
huu ndani huwezi jua watu wote hahahahah lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…