mmmhhh hii rule safi lakini si dhani ka itafanya kazi kwa watu wengi sana ..
watu wengine wanapenda kubadisha tu mazingira ka hali ni ngumu kidogo...
ila wako 24/7 pamja lakini ..
mambo ya nyumbani yakiwachosa wanachukua holiday wote,,
safari za hapa na pale za kupeleka mchele na sukari kwa bibi hizo sawa, au za kikazi n.k
si amini kuwa apart ndo solution ya kuish long lasting love more like break it lol
mmmhh binafsi nahitaji Dozi yangu ya Klorokwini daily ..
sasa nikikosa hiyo naniko mbali na mpenzio ..
siitabidi niende dukani kununua...
halafu ndo tutarudi kwenye ile thread yako nyingine
"Honesty Is the Best Policy…. Lakini Kwenye Mapenzi Sometimes Uongo Is the Only Answer"
yanini kujitafutia matatizo umeamua kuwa na mtu gangamaa naye mpaka hapo kielewe..
kama huwezi kudum kwenye relationship stay single...
samahani kama nimekukwaza
AD