Std 7 - university

Std 7 - university

Yusuph p. Kisunzu

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
120
Reaction score
9
Jamani hao watu kweli walipata vyuo. Kuna anaejua kama lilitekwelezwa kwa hao darasa la saba kupata chuo.
 
Jamani hao watu kweli walipata vyuo. Kuna anaejua kama lilitekwelezwa kwa hao darasa la saba kupata chuo.
  • Walitoa vigezo na masharti kwa yule wa std 7 kupata elimu ya chuo, sio kila std 7. Mfano unakuta mtu yupo kazini kwa zaidi ya miaka 15, lakini elimu yake ni std 7. Hivyo hii ilikuwa ni fulsa kwao kuongeza elimu.
 
kwahiyo si std 7,wanaomaliza sasahivi bali ni wale waliopo makazini lakini wanaelimu ya darasa la 7
 
Std 7 wenye umri kuanzia miaka 25, na walioko makazini. Kuna nafac tcu ilitoa kwa ajili ya hao watu wanapga pepa wakifaulu wanaendelea na bachela ila inabidi wawe wanajua kiingereza hlo ndo sharti kubwa. Afu inabidi wakasome kitu ambacho kimo ndani ya field wanazofanyia kazi.kuna baadh wamepata hio chance ndo wale wa RPL
 
Back
Top Bottom