Kwahiyo wauza batiki na vinyago ndio "wanyang'anyi"?Wana JF nimebahtika kupita Steers hapa mjini.zamani ilikuwa sehemu safi ya kutoka na mtu wako wa karibu ile leo imezungukwa na wauza mitumba ya batiki na vinyago kila meza. Pana boa kwa kweli.
Wana JF nimebahtika kupita Steers hapa mjini.zamani ilikuwa sehemu safi ya kutoka na mtu wako wa karibu ile leo imezungukwa na wauza mitumba ya batiki na vinyago kila meza. Pana boa kwa kweli.
Kwahiyo wauza batiki na vinyago ndio "wanyang'anyi"?
Wajasiria mali tunanyanyapaliwa sana!
Wana JF nimebahtika kupita Steers hapa mjini.zamani ilikuwa sehemu safi ya kutoka na mtu wako wa karibu ile leo imezungukwa na wauza mitumba ya batiki na vinyago kila meza. Pana boa kwa kweli.