Halafu wanamwambia Lisu alete familia yake bongo. Hivi watu hawajui umafia hata ule ambao tunaungalia kwenye muvi! Wanatekwa familia yako wanawekewa bastola kichwani halafu unapigiwa video call unaambiwa usiposaini tunaondoka nao hawa! Utasaini tu mana watu hawajali ikiwa mtu anatekwa mchana kweupe ndani ya basi!Kama ndio tumefikia hapa naanza kuelewa kwa nini wameamua kumkomesha gwajima kwa waumini wake.
Sasa tunaona kwa polepole kuanza kuteswa ambao hata sio wahusika.
Ili taifa linapita wakati mgumu.
Mambo ya kitotoSasa si itakuwa utawala wa kitisho? Akorefishe mwingine ndugu awajibishwe hizi ni siasa za wapi?
Kama ndio tumefikia hapa naanza kuelewa kwa nini wameamua kumkomesha gwajima kwa waumini wake.
Sasa tunaona kwa polepole kuanza kuteswa ambao hata sio wahusika.
Ili taifa linapita wakati mgumu.