Stella maris mtwara university

Stella maris mtwara university

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
808
Reaction score
878
Kama umechaguliwa hapo 2013/14 na unatoka musoma,mtwara au mwanza naomba tuwacliane kwa ajili ya kutafuta chumba dalali nimeshampata,nitafute kupitia 0762364740 au 0789443404
 
Samahani, kuna chuo kina hilo jina?
 
Ndo chuo gan tena hicho? Jaman wachina wanaharibu nchi yetu, kila kitu cha kichina tu
 
Kuna marafiki zangu wawil mmoja yuko mwanza mwingine musoma.ngojea niwape namba.
 
Kama umechaguliwa hapo 2013/14 na unatoka musoma,mtwara au mwanza naomba tuwacliane kwa ajili ya kutafuta chumba dalali nimeshampata,nitafute kupitia 0762364740 au 0789443404

hivi joining instruction pamoja na admission form zinapatikana vipi?
 
Back
Top Bottom