Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Februari 9, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 8
Mbunge wa Nyasa, Mhandisi, Stellah Manyanya amebainisha kuwa Hospitali ya Kanda ya Kusini iliyopo Mkoani Mtwara, haina huduma muhimu hivyo Wananchi kulazimika kutembea umbali wa hadi KiloMita 1,200, Miaka 2 baada ya kuzinduliwa
Miongoni mwa huduma hizo ni gari la Wagonjwa, Chumba cha Kuhifadhia Maiti, Gari ya Daktari Mkuu na Wafanyakazi wa Kutosha