Stendi Iliojengwa Kwa Fedha za Umma unapobadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada wa Kuchoma Mbuzi.

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu habari ya Jioni.
.
Kuna pahala nimesoma na kuona picha mbalimbali kwamba Stendi ya dala² Mafiga Morogoro Imebadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada utakaokuwa unachomwa mbuzi na Watu Kupata Kinywaji.
.
Nimesoma na Kuona Dc Msando akiwakaribisha Kesho wananchi wa Moro kufika Kwa Ajili ya ufunguzi.
.
Sijaelewa imekuaje Stendi Imebadilishwa Kutoka Kuwa Stendi mpaka Kuwa Mnada wa kuchinja+Kuuza Mbuzi.
.
Kuna picha zipo vibanda Vya wauza bia wamejenga mpaka Zile Sehemu za Kupumzikia Abiria.
.
Ni kwamba imeonekana Stendi Hailipi wakaamua Kubadili Matumizi?











 
Stendi na Masoko mengi yalijengwa makubwa kuliko uhalisia wa sasa na miaka 50 ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…