Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
- Thread starter
-
- #241
FafanuaUmemjibu kiakili kubwa. Hawezi kuelewa.
Hongera uncle MaguRIP JOSEPH POMBE JOHN MAGUFULI watashindanaaaaa kufuta Lagacy lakini hawataweza labda wapige mabomu ya Nyuklia kufuta alama zako. Wenye Akili tunaendelea kukukumbuka Daima.
Chadema wananuna mno wakiona hivyoHongera uncle Magu
Inapendeza...
Inapendeza...
[mention]ChoiceVariable [/mention] njoo uone mwanza washafanya yao
Atanuna sana
Umemjibu kiakili kubwa. Hawezi kuelewa.
Dikteta uchwara yule!RIP JOSEPH POMBE JOHN MAGUFULI watashindanaaaaa kufuta Lagacy lakini hawataweza labda wapige mabomu ya Nyuklia kufuta alama zako. Wenye Akili tunaendelea kukukumbuka Daima.
Shika adabu yakoWasukuma muitunze sasa stendi yenu sio baada ya miezi sita stendi inamejaa uchafu na mavi tupu.
Relax..Shika adabu yako
Relax..
Ila kama una tabia hiyo acha tafadhali.
Dhibitisha.Ni wezi mno
Dhibitisha.