Suip
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,353
- 815
Mmiliki wa stendi ya jiji la Arusha hana bajeti ya kukarabati na kufanyia usafi jengo la abiria? Jengo nichafu mabati yana vuja mpaka wanaweka maturubali juu yake.
Kama mnajenga stendi mpya tangu enzi Rais Magufuli mpaka leo haikamiliki na pia hii ya zamani nadhani itaendelea kutumika na inatakiwa ipendeze. Mkuu wa Mkoa pamoja festival za kuvutia watalii angalia na hili.