Tuliambiwa ccm ikishika jiji la arusha kutakua na mabadiliko ila wananchi wanachoona ni michoro tuMmiliki wa stendi ya jiji la Arusha hana bajeti ya kukarabati na kufanyia usafi jengo la abiria? Jengo nichafu mabati yana vuja mpaka wanaweka maturubali juu yake.
Kama mnajenga stendi mpya tangu enzi Rais Magufuli mpaka leo haikamiliki na pia hii ya zamani nadhani itaendelea kutumika na inatakiwa ipendeze. Mkuu wa Mkoa pamoja festival za kuvutia watalii angalia na hili.
Hata kabla ya CCM inaonekana sio kipaumbele cha viongozi wa jiji kwani hilo jengo ni la zamani sana tangia miaka ya 1980 halijawahi kufanyiwa matengenezo yoyote.Tuliambiwa ccm ikishika jiji la arusha kutakua na mabadiliko ila wananchi wanachoona ni michoro tu
Sijaelewa, ndani ya hilo jengo la mabati ndio kuna stand?Mmiliki wa stendi ya jiji la Arusha hana bajeti ya kukarabati na kufanyia usafi jengo la abiria? Jengo nichafu mabati yana vuja mpaka wanaweka maturubali juu yake.