Stendi ya basi Mwanza

Stendi ya basi Mwanza

Nimewahi kufika hapo wakat naelekea Musoma, ni picha tu haijapigwa vizuri, ila stendi iko poa sana tu. Inazidiwa na ile ya Magufuli Mbezi, lakini ile ya Dodoma ni ya kawaida na ni sawa tu na hii, japo aesthetically hii ni kali kuliko ya Dodoma
Sio kweli, Stand ya Dodoma iko juu sana pengine unaweza ukawa unaandika kwa sababu hatuwafagilii wagogo ila Nyamhongolo haigusi ukali wa ya Dodoma.

Architectures hawajabahatisha kuiweka hii makao makuu
 
Nazifaham stendi zote hivyo najua nilichosema. Ukubwa wa eneo inaweza kuzidi kidogo sana, ila Architectural Design ya Dodoma ni ya kawaida sana. Stendi ya Mwanza ni kama Waiting Lounge ya Airport( literally, though not actual sense).
 
Stendi ya Dodoma Ina ukubwa wa eneo tu ila sio Kali kihivyo
 
Stendi ya dodoma
20220817_092544.jpg
20220817_092553.jpg
20220817_092526.jpg
 
Mikoa ambayo basi nyingi zinapita barabara ya nyerere road ndio zinapakia abiria uko ila mabasi yanayopita barabara ya kenyatta road stendi yao inachengwa nyengezi bado haijakamilika
Mkuu! Road na barabara ni kitu kimoja, ishu lugha tu hapo
 
Nazifaham stendi zote hivyo najua nilichosema. Ukubwa wa eneo inaweza kuzidi kidogo sana, ila Architectural Design ya Dodoma ni ya kawaida sana. Stendi ya Mwanza ni kama Waiting Lounge ya Airport( literally, though not actual sense).
Buda huenda ukawa unazifahamu ila bado hujazitumia hii Nyamhongolo ndio kwanza mpya!
Dodoma ni kali sanaa kuanzia mazingira yake na inazidi kuwa kali kutokana na vitu vinavyojengwa kuizunguka.

Umewahi kutumia vyoo vya Dodoma?
Umewahi kukaa kwenye lounges zake?
Ukubwa wake vipi?
 
Mikoa ambayo basi nyingi zinapita barabara ya nyerere road ndio zinapakia abiria uko ila mabasi yanayopita barabara ya kenyatta road stendi yao inachengwa nyengezi bado haijakamilika
sawa barabara ya nyerere road[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hvi road sio barabara kwa kiswahili ama mm ndo nimedata na hizi tozo
 
Ngoja nyegezi ikikamilika uje ulinganishe na hiyo ata hii ni picha tu ukifika ndio utajuwa hiyo ya dodoma na hii ya nyamgholo ipi iko poa
Hata kwa picha Nyamhongolo ni kali kuliko ya Dodoma
 
Back
Top Bottom