KERO Stendi ya mabasi Chemchem ya Bagamoyo ni mbovu na wahusika wameongeza ushuru

KERO Stendi ya mabasi Chemchem ya Bagamoyo ni mbovu na wahusika wameongeza ushuru

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni dereva wa bus, ya kwanza ni kituo cha mabasi chemchem Bagamoyo, ndiyo kituo cha kwanza kupandisha ushuru kuwa mkubwa Tanzania, awali ilikuwa shilingi 2,000 kwa siku then sasa hivi wanachajisha shilingi 4,000.

Wanapandisha bei wakati mazingira ya Stendi bado ni mabovu sijapata kuona mpaka tunatoboa matairi nondo zipo nje ikinyesha mvua matope.
 
Sawa mkuu ila ungetupia na picha tuone hiyo stand wanayochukua 4000 kwa kuweka kamba tu..
 
Alafu hao watoza ushuru wa stendi hua wanatamba sana kwa kula gambe kwenye hivyo viglossary vya pembezoni mwa stendi...🤣
 
Back
Top Bottom