KERO Stendi ya Magufuli, Bajaj wanaombwa Sh 1,000 ila wanapewa risiti ya Sh 500, anayegoma anapewa risiti ya Sh 2,000

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Watoza ushuru Stendi ya Magufuli wanatoa risiti za aina mbili, wana risiti za Sh 500 na za Sh 2,000, mtu wa Bajaj ukiingia kuchukua abiria wanakuomba Sh. 1,000 kisha wanakupa risiti ya Sh 500.

Ukigoma kuwapa wanakupa risiti ya Sh 2,000, risiti zote zina maelezo ya kufanana, ni parking fee per day. Tunashindwa kuelewa ipi ni tozo sahihi ya Bajaj kati ya risiti ya Sh 500 au ya Sh 2,000.
Magufuli risiti 2.jpg
Magufuli risiti.jpg
Pia soma ~ Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo: Ushuru wa Bajaj Mbezi Stendi ni Tsh. 500 inayoshusha abiria na Tsh. 2,000 kwa siku
 
Watoza ushuru Stendi ya Magufuli wanatoa risiti za aina mbili, wana risiti za Sh 500 na za Sh 2,000, mtu wa Bajaj ukiingia kuchukua abiria wanakuomba Sh. 1,000 kisha wanakupa risiti ya Sh 500.

Ukigoma kuwapa wanakupa risiti ya Sh 2,000, risiti zote zina maelezo ya kufanana, ni parking fee per day. Tunashindwa kuelewa ipi ni tozo sahihi ya Bajaj kati ya risiti ya Sh 500 au ya Sh 2,000.
sio kwamba wanacharge kwa masaa ulioka au
 
Watoza ushuru Stendi ya Magufuli wanatoa risiti za aina mbili, wana risiti za Sh 500 na za Sh 2,000, mtu wa Bajaj ukiingia kuchukua abiria wanakuomba Sh. 1,000 kisha wanakupa risiti ya Sh 500.

Ukigoma kuwapa wanakupa risiti ya Sh 2,000, risiti zote zina maelezo ya kufanana, ni parking fee per day. Tunashindwa kuelewa ipi ni tozo sahihi ya Bajaj kati ya risiti ya Sh 500 au ya Sh 2,000.
 
Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 8
Back
Top Bottom