Stendi ya Magufuli hakuna maji siku ya tatu leo, watu wanalazimika kwenda stendi ya daladala ya Mbezi Luis na kule kwenye maduka stendi ya Malamba kujisaidia kwenye vyoo vya vya watu binafsi.
Maji ya DAWASA hakuna na matanki hayana maji, ajabu mtu akitaka kuingia chooni analipia 200 japo hakuna maji hiyo ni kwa baadhi ya vyoo ambavyo havijafungwa maana kuna vingine imebidi vifungwe kwa uchafu kutokana na kukosa maji
Hali ni mbaya sana, vyoo vimejaa uchafu vinanuka sana kwa kuwa watu wanaingia kujisadia na maji hakuna, wengine wanatumia tishu, karatasi au wenye visenti wananunua maji ya Chupa wanaigia nayo chooni.
Hii Serikali imeshindwa hata kuhakikisha huduma ya maji inakuwepo muda wote kwenye maeneo muhimu kama haya yanayokusanya watu wengi muda wote, sijui inaweza kipi.