Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Unataka kusemaje kwani? Kumbe na kutag hujui we rudi tu mkoaniMbezi ndio Dar Bwana
Cc kapeace
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusemaje kwani? Kumbe na kutag hujui we rudi tu mkoaniMbezi ndio Dar Bwana
Cc kapeace
Mjini ni mjini tu.Hii kubishania miji huwa ni kwa maslahi ya nani? Maana kuna watu wapo dar wanaishi mazingira machafu na magumu kuliko panya na mende wanaokula mahindi na matunda kwenye maghala vijijini achilia mbali binadamu.
Hahaha, Hata kama unashinda njaa na unalala mtaroni mradi unayaona magorofa.Mjini ni mjini tu.
Kweli kabisa. Moja ya miji iliyopangiliwa vizuri ni jiji la Tanga lakini pamoja na kukaa jiji hilo miaka isiyopungua tisa nilishawahi potea mara moja maeneo ya MsambweniMiji yote duniani ina slums na vitongoji,downtown ya majiji yote wazungu hutumia ramani au GPS,ukiona mji hupotei ujue hicho ni kijiji,kariakoo imepimwa lakini lazima upotee,New York kupotea ni kugusa tu
Ni Kama wanaofika Mwanza wakafikia Nyegezi Bus Stand au Nyamong'oro bus stand, bado hawajalijua jiji 😁.Kipindi niko mdogo stendi ya kwenda mikoani kutokea Dar ilikuwa Kisutu na nyingine ilikuwa Mnazi mmoja
Ni mpaka early 90s meya au mkurugenzi wa Jiji Bwana Keenja slipoihamishia Ubungo,jamaa alikuwa mbunifu sana.
John Pombe Magufuli akaisogeza mbezi Luis
Hii imepekekea wamikoani wengi wakidhani mbezi ndio City centre,niliwahi kuleta uzi humu jinsi nilivyompoteza ndugu yangu mitaa ya Congo Kariakoo baada ya kuliponda jiji letu, yule bwana alitembea kwa miguu kutoka kariakoo mpaka mbezi malamba mawili maana hakuwa na nauli, kuanzia siku hiyo akawa mpole.
Ni kama Morogoro Town hufanya watu wadhani pale Msamvu ndio city center,bila kujua mji uko ndani huko,zamani miaka ya 70 barabara ilikuwa ikipita katikati ya mji wa Morogoro
Hivi unajua jiji la Dar ed Salaam huenda linazidi jiji la Detroit nchini marekani kwa mambo mengi?najua kuna watu watabisha,nimefika Detroit na naijua Dar tofauti kama ipo ni kidogo sana.
Niliwahi kufika Kinshasa nikashangaa mji unaanzia kama posta mpaka Kibaha ni mji tu. Kinshasa ni kubwa zaidi ya mara tatu ya Dar Es salaam kwa size na population, nadhani wako milioni 17 kwa anayesikia habari za waasi wa Congo anaweza kudhani Congo yote ni magofu.
Naomba tuupe heshima jiji letu la DSM kama hulijui omba utembezwe,au kama umefikia Kitunda au Chanika,bado hujalijua jiji.
Hapo kariakoo tu uwe umezaliwa Dar au umeletwa na mwenge lazima kuna siku uliwahi kupotea.
Miji na majiji yote ya Tanzania nimeyatembelea Dodoma after 15 year atleast wanaweza kuanza kuleta battle za kujishindanisha na Dar, mikoa mingine subirini kwanza miaka 60 ijayo
Kipindi tunapata uhuru Tanga ilikuwa nambari mbili after Dar,miaka 60 mbele iko nyuma sana
I just want to say that I actually feel and think that I have absolutely nothing to say. Thank you!Actually,to be sincerely honest in my humble opinion,without being sentimental and of course without offending anyone who thinks differently from my point of view, and without hiding any thoughts in my mind, and without lies to the actual truth, with my clear open mind and clean heart,expressing whatever is embedded inside me for a long time which I didn't say because I was nervous. But today, by gathering all the courage and motivation, I just want to say that I actually feel and think that I have absolutely nothing to say. Thank you!