Stendi ya Msamvu hali ni mbaya kimapato licha ya uzuri na ubora wake.
Menejimenti ya stendi hiyo yashindwa kulipia hata umeme. Abiria wanaporwa hovyo kwasababu ya giza lililotawala kwenye stendi hiyo.
Kama vipi tumkabidhi Muarabu aendeshe.
==============
Upande wa vyoo vichafu mno, upande wa Wanaume bafu linalofanya kazini moja pekee, sehemu ya haja ndogo ni pabovu uchafu unatuama hauendi chini kwenye njia yake, sehemu nyingine wameweka ndoo ambayo mkojo unachuruzikia humo, yaani mkojo unakungwa kwa ndoo, hatari sana.