Kuna vitu mnateteaga kama wehu , kama Saudia umeme haukatik hivyo halaf jitu lina ndev linatetea stend kuu ya mkoa haina umeme , mpk nashangaa , sasa hzi mia 200 za usipokuwa na tiket wanapeleka wap ? Je ushuru wanapeleka wap , ni kituko mradi wa umma kukosa umeme , kiufup ela nying za stend zinaishia mifukon mwa watu ndio maana unaeza kuta ttzo linakaa mpk masaa halijatatuliwa , pia uchawa wenu ndo unaifanya serikal isiwe responsible kwenye matatizo kama hayo maana wanajuwa ipo mijinga itatetea tuUnahakika kuna Giza kwa sababu wameshindwa kulipia?
Sahizi ni 1:52 saa saba na dakika hamsini na mbili usiku, saa moja lilopita nimeshuhudia kukosekana kwa umeme maeneo ya 4way msanvu, yawezekana hii athari imeikumba msanvu terminal na sio kwamba wameshndwa kulipia.