Stendi ya Msamvu yashindwa kulipia hata umeme, ni giza Totoro!

Kuna vitu mnateteaga kama wehu , kama Saudia umeme haukatik hivyo halaf jitu lina ndev linatetea stend kuu ya mkoa haina umeme , mpk nashangaa , sasa hzi mia 200 za usipokuwa na tiket wanapeleka wap ? Je ushuru wanapeleka wap , ni kituko mradi wa umma kukosa umeme , kiufup ela nying za stend zinaishia mifukon mwa watu ndio maana unaeza kuta ttzo linakaa mpk masaa halijatatuliwa , pia uchawa wenu ndo unaifanya serikal isiwe responsible kwenye matatizo kama hayo maana wanajuwa ipo mijinga itatetea tu
 
Wapewe DP World.

Watanzania tunayoyaweza ni ufisadi, wizi, uzembe, majungu, fitina, kurogana, kulewa, uasherati, uzinzi, uchawi uhasidi, kutingidha makalio, kusemana, umbea na sasa ushoga.

Inaumiza sana.
Kwann tusirekebishe makosa yetu ?kwan sisi haturekebishik?
 
Stendi ya Msamvu hali ni mbaya kimapato licha ya uzuri na ubora wake.

Menejimenti ya stendi hiyo yashindwa kulipia hata umeme. Abiria wanaporwa hovyo kwasababu ya giza lililotawala kwenye stendi hiyo.

Kama vipi tumkabidhi Muarabu aendeshe.
Hao ndiyo watanzania ninao wajua mimi sasa. Halafu nchi ikuzwa mnapiga kelele.
 
Mtu mzima acha uchochezi haipendezi, kwa akili yako ilivyo ndogo nawe umeamini kuwa wameshindwa kununua umeme?

Mimi nipo Moro town hapa maeneo mengi tu umeme hakuna kutokana na hitiliafu tangu usiku saa 4.

Acha kuwa mtu mzima hovyo.
Acha kutetea ujinga , unaeza kuwa mtu mzma usijielewe , kwa ela wanayopata hapo hiyo sehem haipaswi kukaa bila umeme , either ni luku au jambo lolote lile , nyiny ndo mnafanya wanashindwa kuwajibika sababu ya umbumbu wenu mnashabikia kila kitu hata makosa
 
Stendi ya Msamvu hali ni mbaya kimapato licha ya uzuri na ubora wake.

Menejimenti ya stendi hiyo yashindwa kulipia hata umeme. Abiria wanaporwa hovyo kwasababu ya giza lililotawala kwenye stendi hiyo.

Kama vipi tumkabidhi Muarabu aendeshe.

Kabisa tumpe abibi aendeshe stendi.
 
Ili mradi tu na nyie mtetee, kwa hiyo hauoni shida kabisa kwa stand ya Msamvu kutokua na backup generator au any other backup power source?
 
Kwann tusirekebishe makosa yetu ?kwan sisi haturekebishik?
Sheria zeti ni nyepesi sana kwa wezi na mafisadi wa serikalini. Kuwarekebbisha ni kuanza kuwakata viganja vya mkono tu.

Tunawaonea vibaka wanaotuibia hata simu tu kwa kuwachoma moto au kuwapiga mpaka wafe, hawa wanaotuibia kutwa kucha maofisini tena mamilioni na mabilioni tunawaachia. Unfair.
 
Kwani hapo shida ni kulipia umeme au kuna shoti?
hiyo stend ipo chini ya manispaa,na hiyo ni chanzo kikuu cha mapato hapo moro ukitoa masoko!
siamini kuwa tatizo ni luku mzee wangu
Kwahiyo kama ni short ya umeme, tanesco hawapo Morogoro? Wana hadi magari ya dharura, kazi yao nini?

Kuwa na akili japo kidogo. Taneaco wanatakiwa kufanya kazi saa24 siyo 12.
 
Wapewe DP World.

Watanzania tunayoyaweza ni ufisadi, wizi, uzembe, majungu, fitina, kurogana, kulewa, uasherati, uzinzi, uchawi uhasidi, kutingidha makalio, kusemana, umbea na sasa ushoga.

Inaumiza sana.
Stendi tu kuiendesha watanzania wanashindwa,bandari wataweza,sgr wataweza,mwendokasi yenyewe inajifiaaaa huko
Sisi sahv tunachojua ni kukata mauno na kucheza singeli tu

Ova
 
Wezi,wavivu hao viongozi pesa za hapo wanapeleka samakispot wanakata mauno tu

Ova
 
Tuangalie namna ya kuwapa wawekezaji hizi stendi wazisimamie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…