Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

ngoja nisave huu uzi...nitaurudia..jazakharah khair
 
Mkuu kuna kitu kinanipa tabu hapa. Kupata shipping agent anayeaminik mji wowote China usaidizi pls
 
Ndugu samahani, hauna group la wathsApp hata kama kwa kulipia?
 
Ninavyoendelea kusoma, nazidi kupata vitu vipya zaidi.... Kwa kweli hili jambo ni zuri sana kwa kada zote wenye lengo la kuongeza kipato chao. Mfano kwa watumishi, unaweza kuanza kuwauzia watumishi wenzako. Mathalan zile saa za ukutani...
 
Jamaani msaada, nimejiunga na amazon prime na kununua bidhaa kadhaa, leo naingia wanasema account suspended update payment method, nikiupdate bado yale yale je nafanyaje? Pili nimejiunga na comgetaway wameshapokea bidhaa zangu, sasa nikijaribu kuweka address yangu ya bongo wanasema hawataki postal address, je kwny line one address nijaze kitu gani??
 
thank u
 
Mkuu unatumia kampuni gani kuagizia mzigo ,na emu tupe garama za kuagiza hadi unapokufikia ni bei gan...mfano nimeona saa ya mkononi inauzwa dola kumi, garama za shipping cost ni dola kumi na nane na nusu kwa kila saa moja kupitia DHL.Mfano ukiagiza saa kumi garama za shiping zinakuwa dola 185....KITU AMBACHO NAONA ITAKUWA NA UGUMU WA KUIUZA..
 
mkuu nataka kujua kuhusu kodi ya tra mfano nimeagiza charger tano. na kila chaja nimenunua 1000 (ni mfano tu huo) jee TRA wananikata vipi kodi?
yaan kodi ipoje? na nalipaje kwa mimi niliyepo mkoani kupitia njia zipi?
 
Japo nimechelewa kidogo kupata huu uzi asante sana mtoa mada!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…