Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

Huu ndio mchango wa mawazo unaohitajika humu ndani ya jukwaa letu safi sana mkuu,nimewahi nunua vitu online nikiwa na minajili ya kufanya biashara kama mawazo yako ila sikulifanyia kazi sana nikaishia bidhaa zangu na za friends ambao walinirudishia pesa zangu na faida kidogo.Nasupport wazo lako asilimia mia moja.
 
kama unahitaji smartwatch kwa DHL ama hata kwa posta. link za suppliers wangu wa uhakika ninazo. ni PM!
kwa DHL itacost kama 600k kwa kumi (including kodi na usafirishaji), posta 300-400k kwa kumi.ni mahesabu yako tu, unataka ziwahi au zichelewe, DHL zitawahi posta zitachelewa.
 
Naomba kujua nikiagiza bidhaa kupitia alibaba,ebay ai amazon .Ni utaratibu gani unatumika kuipata bidhaa yangu Tanzania.Sina adress yeyote ya posta
 
Naomba kujua nikiagiza bidhaa kupitia alibaba,ebay ai amazon .Ni utaratibu gani unatumika kuipata bidhaa yangu Tanzania.Sina adress yeyote ya posta
alibaba ebay ndio kuna baadhi wanatuma posta, kama upo dar andika jina,number ya simu,dar-es-salaam Tanzania. inatosha, unaenda kuchukua mzigo posta main branch kule posta mpya ukiwa na tracking number. amazon hawatumi moja kwa moja Tanzania, inabidi utumie forwarders.
 
Hongera kwa ukarimu wako,kumbe watu wasiowabinafsi bado wapo duniani.nimejifunza kitu.
 
Ni wabongo wachache sana wenye roho kama yako. mimi nimekopi idea ngoja nikapesti nitakupa mmrejesho mkuu.
 
Mkuu hebu nipe uzoefu ni kwa seller wapi huwatumia maana, kila ninaemcontact natakakunua kwa matumizi yangu wanasema hawaship tanzania so can you advise reliable seller toka ebay?!!
 
nimeenda posta wananiambia mpaka niwe na sanduku la posta eti kutengeneza ni 30000 sasa nifanyeje niagize jaman maana wananichosha kiakili sasa
 
Michael Mkwanzania, umesema ulipoanza uliagiza bidhaa zako toka china, unaweza kuniambia ni website gani au kampuni gani ulitumia kuagiza bidhaa zako? Je ni sites gani au kampuni gani ambazo hadi sasa unazitumia?
Thanks
 
Check aliexpress.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…