Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

We appreciate.
a
 
Wanaopenda kujifunza hawataki mawazo hasi wanachotaka ni kusonga mbele. niwaambie tu hali ya biashara kwa sasa sio nzuri tutafanikiwa kuagiza hadi kupata bidhaa ila kuja kuziuza hapa ni changamoto kubwa sana unless uwe na wateja wako. sikatishi mtu tamaa ila nimesema ukweli kulingana na uzoefu wangu. nawatakia mafanikio mema.
 
Wadau salamu kwenu,
Shukrani sana kwa uzi huu muhimu na michango yenu, nipo najifunza mengi pia kwa vitendo, niliagiza baadhi ya bidhaa toka USA kwa ajili ya biashara ila changamoto niliyoipata ni Gharama za shipping na kodi!, kiasi kwamba bei zinakuwa sawa na kununua bidhaa hiyo hapa nyumbani au hata ghali zaidi, sasa naomba msaada wenu je wenzangu mnaoagiza bidhaa kwa ajili ya biashara, mnatumia njia gani ili kupata nafuu na kutengeneza faida? ?
 
si kweli mkuu watu pesa wanazo ila kikubwa ni Kuw mbunifu tu mfano kama utaagiza jeans kwa bei ya elf 13 AF wew ukauza elf 18 lazima bidhaa itoke haraka tu kikubwa kutotak.faida kubw engine jeans wanauza mpaka elf 30 sasa nani anunue kikubwa ni nia name malengo ya miaka miwili Mbele usiseme biashar mbaya
 
Naomba uweke url ya blog yko hapa niingie moja kwa moja.
 
Kama

Kama utaweza kufanya ulivyosema ni sahihi ila msiwaaminishe tu raia kwamba kuna faida kubwa watu wanastahili kujua ukweli waelewe namna gani nzurii ya kujipanga. wengi hapa wataagiza bidhaa ya aina moja sababu wameona imetolewa mfano na kwenye namba inalipa ila kiuhalisia unaweza maliza mwezi hujauza kabisa.
 
Jumia wana matatizo makubwa,nipe arena yako ninahitaji bidhaa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…