Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

uzi mzuri sana. nimeanza kusaka bidhaa. kama una namna nzuri ya kusafirisha nijuze maana bidhaa ni bei nzuri ila usafiri kwa option wanayonipa inakuwa ghali
 
uzi mzuri sana. nimeanza kusaka bidhaa. kama una namna nzuri ya kusafirisha nijuze maana bidhaa ni bei nzuri ila usafiri kwa option wanayonipa inakuwa ghali
Na hapo ndio changamoto siku hizi wauzaji wengi hawatumii posta siku hizi njia ambayo ilikuwa ni cheap mana bidhaa nyingi zinapotea
sasa wanatumia dhl
 
Nimesoma huu uzi nimeshangaa sana. Kumbe Laki Moja inaweza kufanya mambo makubwa!! Kipekee sana nikushukuru mkuu kwa kuwa na moyo wa kufunguka kwa kiasi ulichoweza, nafanya juhudi za kufatilia swala hili na nilione laweza kunifaidisha vipi.
Barikiwa sana.
 
Utakufa maskini always negative, kwahali hii watu makini watazidi kuima JF.
Sawa we utakufa tajiri maana wewe sindio mungu. Kama mengi na utajir wake wa $560 million kaucha na ugomvi wa kutosha katika familia. Nakutakia kila la heri maana we ndie muweza wa yote!
 
Sawa we utakufa tajiri maana wewe sindio mungu. Kama mengi na utajir wake wa $560 million kaucha na ugomvi wa kutosha katika familia. Nakutakia kila la heri maana we ndie muweza wa yote!
Kum-reference Mungu haiwezi safisha upuuzi wako, na Mengi kufa nani aliyesema tajiri afi.

Point, ya msingi uache uwo upuuzi na ni kawaida yako kuweka negative view zako sikukutambua mapema kwasabu umebadili Avatar, nimekuona sana tu kwenye post kibao unaleta upuuzi kwenye post za kujenga | uwache.
 
Sasa mie nawewe nani mpuuzi mkuu? Mbona unaleta mkanganyiko usio na maana. Bando langu, simu yangu, chaja yangu na isitoshe uhiru ninao kikatiba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…