Step by step nilivyo agiza bidhaa kutoka AliExpress

Step by step nilivyo agiza bidhaa kutoka AliExpress

Tatizo la Posta ni kodi tu. Bora niendelee na mfumo wa kutumia mtu kwa 20000 kwa simu
 
M-pesa master card inakuwaje? naomba elimu kidogo mkuu, asante
Hatua za kupata M-pesa Mastercard ni:
1. Kutengeneza kadi
2. Kunakili namba za kadi, mwezi na mwaka ambao inaisha muda wake, CCV
3. Kuweka hela
4. Kuanza kutumia kadi yako

KUTENGENEZA KADI MPYA:
Ingia kwemnye MENU ya Mpesa (*150*00#)
Bonyeza namba 4 (Lipa kwa M-pesa)
Bonyeza namba 6 (M-pesa Mastercard)
Bonyeza namba 1 (Tengeneza kadi mpya)
.
.
.
fuata maelekezo mpaka mwisho.
Ukitaka kuweka pesa fuata utaratibu huohuo hapo juu.
 
Unaweza kuagiza bidhaa moja I mean simu moja, mikoba miwili au lazima viwe vingi? nilijaribu kuwafollow instagram nikashindwa, naomba msaada ndugu
Unaweza kuagiza kitu hata kama ni kimoja

Soma post #29
Nimetoa ufafanuzi
 
Si ndo natest [emoji3][emoji3] kwa mara ya kwanza .....ili next time nifanye manunuzi makubwa ndo target yangu .....
sasa screwdrivers za buku 3 ndio mpaka uagize online babu[emoji23][emoji23][emoji23] next time kuwa serious basi.
 
anatest mitambo kwanza ili ata ikitokea loss roho isiume
Sawa sawa umewaza kama mimi hata ukifunga speaker za club unaanza na sound ndogo afu unaongeza siyo full vol utapasua speaker....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hipi ni best kwa ajili ya kuagiza mzigo.aliexpress, amazon au eBay...
 
Ndio maana nikakuambia ni mfano, sio lazima uweke details zako halisi
Mfano huu hapa .......
2019-07-02%2017.59.11.jpeg
 
Back
Top Bottom