Yusuph Hashim
Senior Member
- Feb 22, 2014
- 111
- 132
Hongera kwa hatua uliyofikia.
Haya ndio matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii KUPATA ELIMU na KUITUMIA ELIMU kama ulivyo fanya.
Ukiwa na changamoto yeyote usisite kuliza na wana JF watakusaidia
Guys naombeni mnisaidie mm niliagiza vitu na nimewasiliana na seller akaniambia kuwa vitakuwa vimefika nchini kwangu kwasababu ni miez miwil sas imepita na ili mm nipate order yangu nilitakiwa nisubir 21-53 days zimepita sas na inanyosha mzigo umetua nchini shida posta nilienda na track number hawakuweza kunisaidia nifanyeje guys naombeni nielekezwe namna ya kuuchukua mzigo wanguView attachment 1144130
Mkuu unaweza ukawa na ufahamu kidogo kuhusu watu wenye masanduku ya posta mikoa mingine tofauti na Dar, je kuna usumbufu wowote wa mzigo kufika au?Habari JF.
Kwamtazamo wangu wengi tunaogopa kuagiza vitu kutoka hizi sites kama AliExpress,ebay,Amazon n.k
Baada ya kusoma nyuzi nyingi hasa za Mwl.RCT basi namimi nikaona nijaribu.
1.Nilianza na kufungua Sanduku la Posta .
2.Kufungua Account ya Bank Nitakayo tumia kufanya manunuzi hayo .
3.Application ya AliExpress kwangu mimi.
Baada ya kupata Sanduku la Posta nikafanya research hasa kwa kupitia nyuzi humu Bank nzuri yakufanya manunuzi option zikawa mbili Access Bank na Equity Bank upande wangu nikaona Equity Bank na kufungua account Equity Bank ilikuwa siku moja napata card ya visa na fomu ya kuruhusu online transactions nilijaza sikuhiyohiyo baada ya siku mbili nikapigiwa simu kama kila kitu kiko sawa naweza fanya manunuzi.
Basi kwa mara ya kwanza tar 30 june 2019 nikajaribu card kwa kununua screwdriver ya vitu vya electronics .
N.B
Nitaendelea kutoa Update mpaka pale mzigo utakapo fika .....mpaka sasa sijapata kikwazo sehemu yeyote View attachment 1144063View attachment 1144064View attachment 1144065View attachment 1144066
UPDATE:
Tarehe 30 june 2019 order ilikuwa received na baada ya siku nne yaani leo tar 4 july 2019 mzigo umekuwa dispatched ....utafika Dar around 28 july mpaka 22 august 2019.
Habari JF.

Vipi ulishapaga mzigo ?Habari JF.

Kuna tofauti gani kati ya alibaba na aliexpress?Kwenye sanduku la posta la mkurugenzi
Unaitrack kivipi boss sijakuelewaWatanzania tuache uoga mimi nimesha agiza simu zaidi ya tano kwa kupitia alixpress tena sina sanduku la posta natumia posta makao makuu Mzigo ukifika naenda kuchukua
Nimeagiza vitu vingi sana na vimefika bila shida yoyote
Muhimu ujue ku track mizigo yako ili ikifika posta utambue mapema na kuifuatilia
Maana ukitegemea kupata msg kutoka posta mara nyingine msg hazifiki
Hizo ni baadhi ya simu nilizo agiza na zikafika bila shida yoyote
Kuna item zaidi ya 30 nimeagiza na zimefika
View attachment 1144110View attachment 1144111
miss fortune hivi ulipata solution ya hili tatizo lako mamii
Eeh nilipata asee vitu vilikuwa vishafika south africa na track number ilikuwa imeshabadilishwa ila waliweza u track mzigo ukarudi na nikafanikiwa kuupata
Kwa mikoani sina uzoefu Sana mkuuMkuu unaweza ukawa na ufahamu kidogo kuhusu watu wenye masanduku ya posta mikoa mingine tofauti na Dar, je kuna usumbufu wowote wa mzigo kufika au?
Alibaba ni wauzaji wa bidhaa kwa jumla na AliExpress ni rejarejaKuna tofauti gani kati ya alibaba na aliexpress?
Asante mkuu kwa ufafanuzi.Alibaba ni wauzaji wa bidhaa kwa jumla na AliExpress ni rejareja
hakuna usumbfu ww andika tu slp ya makao makuu ya posta ya mkoa huoMkuu unaweza ukawa na ufahamu kidogo kuhusu watu wenye masanduku ya posta mikoa mingine tofauti na Dar, je kuna usumbufu wowote wa mzigo kufika au?
Ukijisajili kwenye pc yani bila kuidownload je?Download App ya Aliexpress kwenye simu yako kisha jisajili tu. Hakuna maelezo mengi.
Nimekua nikitamani kununua bidhaa kwa bei ya jumla Mimi nina duka la nguo (Chupi) nimetembelea Aliexpless,kikuu na eBay lakini wana bei sana kuliko kununulia Kkoo. Sijakata tamaa ndo Maana Nipo hapa ili kupata ufumbuzi
Ombi langu kwenu nifanyeje ili niweze kununua mzigo nje ili niweze kupata faida kidogo? #nawasilisha
mpesa mastercard ndo ikojehii ni rahisi zaidi.huna haja ya kufungua bank ac wewe tu na line yako ya voda yenye mpesa mastercard.
yajayo yanafurahisha @vodacomtanzania