Endelea kumiminika mkuu..na mimi nipate hamasa..ila natamani kujua zaidi kuhusu manunuzi kupitia mpesa mana huku chiungutwa hakuna hizo benki.
mpesa mastercard ndo ikoje
piga*150*00# kisha4 lipa kwa m pesa ,6m pesa MasterCard kisha fungua acc ya m pesa MasterCard na fuata maelekezompesa mastercard ndo ikoje
Hongera.Dah mie mwenywe nimepokea mzigo wangu leo. ndo mara ya kwanza kuagiza so nilikuwa najaribu View attachment 1245575
Asante mkuu kwa shule nzur gharama za kufungua sanduku la posta zikojeMkuu Safi kabisa wewe umenifanya sasa niagize zaidi maana nilikuwa kama na test vile nione ......mimi nina sanduku la posta kawe kwahiyo mzigo utakuja hapo au makao makuu
Nicheck nikupe maelekezo ya kutosha. Bure kabisa yatakusaidia mkuuMsaada tafadhali. Kwa anyeweza kulink M pesa master card au Airtel money mastercard na Paypal account anisaidie maana kila nikijaribu wanasema
YOUR REQUEST WAS DECLINED BY THE ISSUEING BANK.
Je, tatizo ni nini?
Nicheck nikupe maelekezo ya kutosha. Bure kabisa yatakusaidia mkuu
Kuna makato mengine ya ziada, zaidi ya hio USD 199?Hii noki pia niliagiza alixpress mkuuView attachment 1144113
Mkuu kwa sisi wa mikoani mfano iringa tufanyaje ili kuagiza mizigo njee na itufikie salama bila kuja darMfano nikijisajiri kwa kutumia sanduku la posta la mkurugenzi wa Manispaa ya kinondoni maana mi sina ya kwangu, halafu post code nikatumia ya Kijitonyama hapa mzigo utapelekwa wapi?
Habari ndugu nilikuwa naomba maelezo kidogo pale kwenye shipping method kwa chini wameandika Tracking Unavailable ina maana ukilipia hiyo shipping hawakupi tracking number kama wanavyoonesha na je kuna namna ya kuipata Tracking number!Dah mie mwenywe nimepokea mzigo wangu leo. ndo mara ya kwanza kuagiza so nilikuwa najaribu View attachment 1245575
Tracking number utapewa ila utaweza kutrack mzigo ukiwa bado haujaondoka sehemu(nchi) uliponunulia. Ukishaondoka hutaweza kupata tracking information mpaka utakapofika nchini kwako. Wakati mwingine utashangaa unapigiwa simu au unatumiwa meseji kuwa njoo posta uchukue mzigo wako.Habari ndugu nilikuwa naomba maelezo kidogo pale kwenye shipping method kwa chini wameandika Tracking Unavailable ina maana ukilipia hiyo shipping hawakupi tracking number kama wanavyoonesha na je kuna namna ya kuipata Tracking number!
Nashukuru mno kwa maelezo yako ila ninaomba nikuulize tena ikitokea sijapigiwa simu nitajuaje kama mzigo wangu umefika.Tracking number utapewa ila utaweza kutrack mzigo ukiwa bado haujaondoka sehemu(nchi) uliponunulia. Ukishaondoka hutaweza kupata tracking information mpaka utakapofika nchini kwako. Wakati mwingine utashangaa unapigiwa simu au unatumiwa meseji kuwa njoo posta uchukue mzigo wako.