eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
You must be kidding guy, how can a mighty EAC economic of power house to have such kind poorly constructed and dilapidated structure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You must be kidding guy, how can a mighty EAC economic of power house to have such kind poorly constructed and dilapidated structure.
Kenya ni masikini jeuri. Shida walizonazo Watanzania wengi ndio hizo hizo zinazosumbua Wakenya wengi. Acheni majivuno ya kitoto wakati tunawajua nje ndani.
60% of persons living in Manyatta, Obunga and Nyalenda slum areas have no access or lack basic needs and services. Kisumu slum areas inclusive of Manyatta, Obunga and Nyalenda suffer from inadequate housing, overcrowding, poor or non-existent sanitation and grinding poverty.
Need to improve Kisumu slum areas | Tuko254
Kenya ni masikini jeuri. Shida walizonazo Watanzania wengi ndio hizo hizo zinazosumbua Wakenya wengi. Acheni majivuno ya kitoto wakati tunawajua nje ndani.
60% of persons living in Manyatta, Obunga and Nyalenda slum areas have no access or lack basic needs and services. Kisumu slum areas inclusive of Manyatta, Obunga and Nyalenda suffer from inadequate housing, overcrowding, poor or non-existent sanitation and grinding poverty.
Need to improve Kisumu slum areas | Tuko254
He he he he! Acha nicheke...
Na vile akina MOTOCHINI, bongo-live et al hudai hawajawai kuona umaskini kama huu ulioko Kenya? Ona sasa Danganyika, mpaka inazua huruma kutoka kwa US celebs.
Geza Ulole naye hana jipya. Ni Turkana na Kibera kila mara!
Nitajie shida ambazo zipo Tanzania na hazipo Kenya.List of African countries by Human Development Index
Google Fusion Tables
View attachment 359966 View attachment 359967 View attachment 359968 View attachment 359969 View attachment 359970 View attachment 359966 View attachment 359967 View attachment 359968 View attachment 359969 View attachment 359970 View attachment 359966 View attachment 359967 View attachment 359968 View attachment 359969 View attachment 359970 After Jay Z and Beyonce, more US celebrities keep flowing into Tanzania to help in curbing the extreme poverty among the citizens. I think this is a good move. I dream of an East Africa where no country is an LDC by 2030.
Nobody deserves to live in a house like that in the background especially in a rural area where the cost of construction is very low.
More than half the population of Kenya’s capital, Nairobi, live in slums and informal settlements.
https://www.amnesty.org/download/Documents/12000/afr320082013en.pdf
Kibera is a shanty town of rusting roofs slung across mud, rocks and a rubbish dump. Its half a million inhabitants live in single room mud huts and tin shacks crammed closely together.
Inside Kibera slum, Africa's biggest shanty town
Life is precarious for the approximately 2 million people who live in Nairobi’s informal settlements and slums.
https://www.amnesty.nl/sites/default/files/public/rap_kenia_the_unseen_majority.pdf
Umecheka umefurahia nini!!
Tanzania ipo ulumwengu wa tatu mpaka sasa
NGOJA TUCHEKI KENYA ILIOKO ULIMWENGU WA TATU
SHIRIKA la kupambana na funza hapa nchini—Ahadi Kenya—Jumatano limetangaza kuwa litasambaza viatu kwa wanafunzi milioni mbili hapa Kenya.
Mradi huo utazinduliwa mwezi ujao huku watakaonufaika wakiwa ni wanafunzi katika shule za msingi za umma.
Akiongea Jumatano mjini Murang’a, Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw Stanley Kamau alisema tayari ameahidiwa viatu hivyo na wahisani mbalimbali wa hapa nchini na pia wa kutoka ng’ambo.
“Kwa vile asilimia 80 ya waathiriwa ni wale wa umri wa kwenda shuleni, watoto takriban 4 milioni wameathirika.
Tusipojitokeza kwa hali na
mali kupambana na hali hii, malengo ya masomo katika mpangilio wa milenia tunafaa tuyasahau kwa kuwa hatutayaafikia,” akasema.
Alisema hatua hiyo ni ya kuwahakikishia wanafunzi hao hali njema ya afya ili kuepukana na uvamizi wa funza ili wawe na umakinifu wa kusoma badala ya kuchukua wakati mwingi wakijikuna miwasho ya funza viungoni.
“Aidha, hata ikiwa watakaonufaika hawamo hatarini ya kuvamiwa na funza, ni wajibu wa kila Mkenya aliye na nia njema kwa maendeleo
kuwatunuku wasio na uwezo vifaa vya kuwainua kimaisha,” akasema.
Alisema kero la funza limekuwa jinamizi kubwa mashinani ya hapa nchini hasa mashuleni.
“Hili sio jinamizi ambalo limewakamba watu wa Murang’a pekee kama ilivyo dhana ya wengi. Ni kero la kitaifa ambalo hata linafaa
kutangazwa kama janga la kitaifa. Kila pembe ya nchi imeathirika,” akasema.
Alisema kwa sasa watu 5 milioni kote nchini wameathirika na janga hili.
Kuaga dunia
Alisema tayari watu 2.6 milioni wametibiwa kote nchini tangu mwaka wa 2007 huku wengine 300 kufikia Mei wakiripotiwa kuaga dunia
kufuatia uvamizi wa funza.
Bw Kamau alisema viatu hivyo vitasambazwa katika kila Kaunti ili kuwapatia afueni wahasiriwa wa janga hili.
Alipendekeza pia serikali itenge hazina ya wahasiriwa wa funza katika makadirio yake ya bajeti kupitia kwa Wizara ya Afya.
Alisema uvamizi wa wadudu hao kwa wanafunzi ni tisho kubwa la kuafikia malengo ya Milenia kuhusu masomo na pia Ruwaza ya Kiuchumi ya 2030.
Nitajie shida ambazo zipo Tanzania na hazipo Kenya.
Nitajie shida ambazo zipo Tanzania na hazipo Kenya.
Nitajie shida ambazo zipo Tanzania na hazipo Kenya.
the poverty in kenya is gut wrenching! For some us who conduct some business occasionally in kenya, tunawafam na uchaf wenu. How does a 80 yr old jaluo woman share a plastic defacating bag with other members of her family.#kiberajournals. Heard that at story moja festival last yr in nrb
Nitajie shida ambazo zipo Tanzania na hazipo Kenya.
Map of the Least Developed Countries (LDCs)
![]()
unctad.org | Map of the Least Developed Countries (LDCs)
Kenya: Leaders Plead for Help As Hunger Forces Families Flee to Uganda
http://allafrica.com/stories/201606200444.html
Malnutrition a threat to Kenya's growth
Ngoja nikuache uendelee kujidanganya kuwa Kenya ni nchi tajiri.