Hoja ni kuwa hicho kiumbe ndie mungu huyu wetu sote au nn?na kama ni kiumbe je chanzo chake ni nini huyo kiumbe?Toeni fact zenu zote lakini msisahau kuna kiumbe anaye iongoza hii dunia,
Jichunguzee kwanza ulivyo,haki utaamini uwepo wa huyo kiumbe
ni MUNGU ASIYE NA CHANZO..YEYE HAITAJI CHANZO ILI AWEPOHoja ni kuwa hicho kiumbe ndie mungu huyu wetu sote au nn?na kama ni kiumbe je chanzo chake ni nini huyo kiumbe?
HAHAH UKISEMA 1000 AD TAYARI UNAKUBALIANA NA BIBLIA TAYAR UNAKUBALI YESU YUPO ..TAYAR MUNGU UNAKUBALI YUPO.. BIBLIA IKO FIXED SANA ASEEUnavyoquote barua za biblia kama moral highground inaonyesha tayari huwezi fikiri nje yake.
Heshima ya utawala bora haitoki kwa mungu bali hutokana na serikali kuwa na maslahi sawa na majority ya raia.
Kuheshimu utawala kisa hadithi za biblia ni namna yakucontroll watu wasitetee haki na maslahi yao binafsi. pia ndio sababu ya kukwama kwa maendeleo ya kisayansi ulaya during the DARK AGE 1000AD-1400AD.
Hii kwasababu utawala wa MAPAPA uliona sayansi kama tishio kwa muelezo wa dunia waliotoa kwa watu. mfano kuzimu ,mbinguni ni wapi ? dunia inaumri gani? je kweli dunia ndio ipo katikati ya solar system? n.k
kama huyawahi kujiuliza vitu vya karatasi ya kwanza ya biblia. mimea iliumbwa kabla ya jua, je iliishije? hiyo NURU hapo mwanzo ulitokea wapi kama jua na nyota ziliumbwa siku ya nne? mungu hakujua JUA pia ni nyota? giza na mchana vilitokeaje bila JUA ? kama mungu aliumba mwezi kama mwanga mdogo jee inamaana mwezi una mwanga wake ? mbona kuna kupatwa kwa mwezi?
nashangaa watu wengi bado hawajajiuliza maswali niliojiuliza sekondari,
Vyombo vya dini vinapokea TAX REDUCTION mfano shule niliyosoma ST..,pia makanisa na misikiti hayalipi INCOME TAX huku yana uza elimu yakujirudia rudia kila mwaka na kuingiza kipato (sadaka) ndo maana vinapromote the status quo..
Matatizo ya ulaya ya 1300 AD ndo tunayo sasa Tanzania . Wengi humu ni part or symptom of the problem.
Tukiendelea kutumia vitabu vya karne 2000 zilizopita , hatuta weza kufanya reseach zakutransform maisha yetu in food , medicine , climate change ,judiciary n.k
Every scientific discovery is a nail in the religious COFFIN.
Hata marekani wavumbuzi ni atheists wengine wanakula matunda yao.
Kuna reseach evidence inayoonyesha jamii zenye dini ndizo maskini.
40% ya badget yetu ipo funded na donor countries ambapo kodi inayokusanywa kwenye prostitution ,night clubs na pornsites ulaya na marekani, INDIRECTLY inalipa mishahara ya WATANZANIA n.k sababu pesa ni pesa hakuna ya dhambi na safi..
Akiweza, atakuwa hawezi kubeba jiwe, asipoweza, atakuwa hawezi kutengeneza jiwe.
Vyovyote vile, Mungu muweza yote ni kamba tupu.
Unataka kumjua Mungu asie na mwili wa hisia kwa kutumia akili za mwili wenye hisia.Akiweza, atakuwa hawezi kubeba jiwe, asipoweza, atakuwa hawezi kutengeneza jiwe.
Vyovyote vile, Mungu muweza yote ni kamba tupu.
Thibitisha Mungu yupo awali ya yote.Unataka kumjua Mungu asie na mwili wa hisia kwa kutumia akili za mwili wenye hisia.
It's very difficult my friend.
Hautopata validity kamwe.
Ikiwa tu mfumo wa jua wanasayansi wanakwambia upo kwenye Milk way ambao kiujumla kunako mifumo mingi sana ya sayari (galaxies) zisizo hesabika... hao ni wana sayansi wametumia vifaa vya hali ya juu na bado wanashindwa kutegua vitendawili vya mwanzilishi wa hayo yote, itakuwaje kwa ww usietumia vifaa.
Jaribu kutafakari jambo moja.... the tiniest particle iliyohusika kukuumba ww ilianzaanzaje....
Nikikwambia Kipepe wa SANI ni Mungu asiye wa mwili wala hisia, na wewe huwezi kumuelewa kwa kutumia akili zako, ila ni Mungu.Unataka kumjua Mungu asie na mwili wa hisia kwa kutumia akili za mwili wenye hisia.
It's very difficult my friend.
Hautopata validity kamwe.
Ikiwa tu mfumo wa jua wanasayansi wanakwambia upo kwenye Milk way ambao kiujumla kunako mifumo mingi sana ya sayari (galaxies) zisizo hesabika... hao ni wana sayansi wametumia vifaa vya hali ya juu na bado wanashindwa kutegua vitendawili vya mwanzilishi wa hayo yote, itakuwaje kwa ww usietumia vifaa.
Jaribu kutafakari jambo moja.... the tiniest particle iliyohusika kukuumba ww ilianzaanzaje....
unaendelea kuprove right nlichosema kuhusu IQ za wafia dini.HAHAH UKISEMA 1000 AD TAYARI UNAKUBALIANA NA BIBLIA TAYAR UNAKUBALI YESU YUPO ..TAYAR MUNGU UNAKUBALI YUPO.. BIBLIA IKO FIXED SANA ASEE
Huyo kiumbe aliumbwa na nani?Toeni fact zenu zote lakini msisahau kuna kiumbe anaye iongoza hii dunia,
Jichunguzee kwanza ulivyo,haki utaamini uwepo wa huyo kiumbe
Huyo kiumbe aliumbwa
Huyo kiumbe aliumbwa na nani?
Sitaki kuamini kama kila kiumbe kimeumbwa kwa mfumo wa mwanadamu kama ilibyo kwa binadamu kuunda magari,majengo huenda huyu Mungu hafananii kabisa na binadamu
[emoji1]Kuna rais mmoja wa Marekani wa mwanzo kabisa, nafikiri alikuwa John Aadams yule, alisema wao wanayafanyia kazi masuala ya msingi kabisa yasiyokwepeka katika maisha ya kila siku (kula, pahala pa kuishi, afya, mambo ya kimsingi ya kiuchumi kama ajira etc) ili watoto wao wawe na luxury ya kuweza kuchambua masuala mengine (kama haya ya uwepo wa Mungu).
Tatizo kwetu huko wengi hawajatatua matatizo ya msingi, sasa kujadiliana na mtu ambaye hajapata muda wa kumsoma Anselm, Augustine, Russell, Dawkins, Hitchens, kwa sababu hata bajeti ya vitabu hana, au Kiingereza hajui kwa sababu hakufanikiwa kupata nafasi ya kujifunza, ni tabu sana.
Ndiyo maana nafikia nafasi hata kuonesha areguments za kutokuwepo kwa Mungu zinazotolewa na watu wanaosema Mungu yupo.
Hawana uwezo wa kufikiri kwa kina, muda wao mwingi unatumiwa kufukuza riziki ya siku.
Mtu anakwambia complexity ya dunia na viumbe ni lazima iwe imeumbwa, haiwezi kuwa imetokea yenyewe tu.
Hajui kwamba, kwa kusema hilo, anachosema kiukweli kabisa, ni kwamba Mungu muumba vyote hawezi kuwepo.
Kwa sababu, kama complexity ni lazima iumbwe, haiwezi kutokea tu, hata Mungu naye ni complex, naye atahitaji muumba, na muumba wake atahitaji muumba, ad infinitum, ad nauseam.
Kwa hiyo, hapo hakuna Mungu muumba yote, kuna an infinity of viumbe.
Kwa hiyo Mungu hayupo.
Yani mtu anafikiri ananipinga mimi, kumbe anajipinga mwenyewe.
Kwa nini? Kwa sababu hajapata nafasi ya kuchunguza hoja yake kwa umakini kabla ya kuitoa, amejikita kwenye kufukuza riziki.
tunatumia AD na BC sababu ni mfumo wa calendar ulioanzishwa na WARUMI na kusambazwa katika utawala wao ambapo ni modern Britain , Germany ,France, Italy ...nk..Kwann mnatumia AD?? Na BC?
Kama hutoweza kuprove vitu vyote vimetokea wapi..
Bas jibu ni rahisi sana ni Mungu...
Usijibizane na mm kama hutotoa maelezo kwamba vitu vyote vimetokea wapi...mana hoja zako zote zimemezwa hapo...
Mungu akubariki
Ushasoma kuhusu kitu kinaitwa "hypnotism"? Kama hujasoma, tafuta habari hizi zaidi.Kuna kitu sikielewi..sawa yawezekana MUNGU hayupo ila kuna kitu nataka kuelewesha kama sio kufundishwa
Tunaenda kanisani ghafla katika maombi anatokea dada/kaka anapaza sauti anaruka juu anaongea maneno ya ajabu ajabu saingine analala chini na kuanza kutambaa kama nyoka..
Ghafla mchungaji/shekh akapofika hufanya maombi na kumtaja MUNGU na kila neno MUNGU likitamkwa inakua kama moto unachochewa lakini hadi mwisho muhusika huinuka na kuwa mzima.
Kama si MUNGU ni nani anaefanya mauponyaji ya namna hiyo? Kiranga
OKNAOANA UNAANDIKA KAMA UNATAKA KUSHUKA KITUONI KWENYE DALADALA..
HUJASEMA MAANA BC NA AC NI NA KWANN DUNIA NZIMA WANAKUBALI IVO..
KAMA MIAKA ILIANZA BILION HUKO KWANN WALIANZA UPYA NA BC NA AC..
HATA KAMA NI WARUMI ..KWANN WARUMI WAANZE KUTUMIA BC AC MDA HUO...
WEWE UMESEMA HUTAKI KUABUDU NDIO MANA UNAPINGA ..
MBONA HOJA YAKO NI NDOGO SANA ...KWAMBA KISA HUTAKI KUABUDU NA KUA CHINI YA SHERIA NA KANUNI ZA KIUNGU BAS UNAPINGA UWEPO....
..SABABU YAKO NIMEIELEWA..
AHSANTE SANA..
Sijaomba namba za simu,nimeomba namba za mawasiliano.Huyo Ngoswe unayetaka hawe na simu! Ni Ngoswe mpya au yule ambaye hakuwahi kutumia simu katika uhai wake?.Maana hata baba yangu aliyeishi miaka ya 1920 hadi 1985,hakuwa na simu.
What is Perfect? Unawezaje kupima perfection?Wapi nimesimama kwa kutumia mgongo wa Kiranga???! ,mimi nimetumia biblia yenu inayosema kuwa Mungu ni perfect(Mathayo5:48) halafu nashangaa kwa nini ashindwe kuumba dunia ambayo ni perfect, yaani isiyo na magonjwa, ubakaji, ajali, vimbunga, tsunami e. t. c!!
Na unapojinadi kuwa nisitumie verse moja kufikia conclusion ina maana hiyo biblia yenu inajikana yenyewe?.... yaani ina maana kuwa kama verse fulani inasema kuwa mungu ni perfect halafu kuna verse nyingine inakuja kukana??!
Mungu tunaehubiriwa kuwa ana upendo sana alishindwaje kuumba dunia ambayo bad things haziwezekani?Ukitaka kumtafuta Mungu wa kweli inakubidi uachane na Bad things first, ukishampata utapongezwa na tutasema ur a winner.