Konzo Ikweta
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 735
- 1,467
ThanksIf you haven't read Hawking, and you are interested "A Brief History of Time: From The Big Bang To Black Holes" (attached) is a good start.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThanksIf you haven't read Hawking, and you are interested "A Brief History of Time: From The Big Bang To Black Holes" (attached) is a good start.
Mtu hakuweza hata kurefusha siku zake za kuishi kwa siku moja...au hata kujitibu ili atoke kwenye hicho kiti cha matairi still anabaki kuhangaika kuwa hakuna Mungu.
Bila shaka huko aliko atakuwa na jibu zuri..yupo au hayupo??
This logical fallacy is called non sequitur.Mtu hakuweza hata kurefusha siku zake za kuishi kwa siku moja...au hata kujitibu ili atoke kwenye hicho kiti cha matairi still anabaki kuhangaika kuwa hakuna Mungu.
Bila shaka huko aliko atakuwa na jibu zuri..yupo au hayupo??
Bado natafuta namna ya kuiweka logic na laws zake iwe katika mfumo wa kinachoonekana nashindwa.Kwa nini mkuu?
Kipo mana ndio tunakitumia hata hapa shida hakipo ktk mfumo wa kuonekana kwa macho ila matokeo yake yanaonekana.Ukitaka kukifanya kisichopo kiwepo halafu ukashindwa, sitashangaa.
Kwa sababu unataka kukifanya kisichopo kiwepo.
Unaweza kujipigia hadithi. Kwamba kitu ambacho hakipo kipo, na ukaitumia ile hadithi, ukifikiri kwamba unakitumia kile kitu ambacho hakipo.Kipo mana ndio tunakitumia hata hapa shida hakipo ktk mfumo wa kuonekana kwa macho ila matokeo yake yanaonekana.
Nipo kwenye Laws of logic kaka mkubwa ushafika kwenye Mungu.Unaweza kujipigia hadithi.kwamba kitu ambacho hakipo kipo, na ukaitumia ile hadithi, ukifikiri kwamba unakitumia kile kitu ambacho hakipo.
Hata pesa ya makaratasi tunayoitumia haina thamani tunayosema inayo, ila tumeweza kutengeneza hadithi kwamba noti ya shilingi 10,000 ina thamani sawa na vitu fulani, na tukakubaliana na hadithi hii ya kutungwa ambayo imezipa noti thamani.
Sijawahi kupinga uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani kwa macho, napinga kwa sababu maelezo ya kuwapo kwake yana contradictions na logical inconsistencies zinazoonesha hayupo.
Hayo matokeo unayosema yanaonekana, unasema hivyo kwa sababu hujafikiri kwa kina tu, ukifikiri kwa kina hata hayo matokeo yatakuonesha kuwa Mungu muumba yote, mwenye ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote hayupo, na hawezi kuwepo.
Kama unabisha, yataje hayo matokeo tuyachambue.
Kama Mungu hayupo, wewe ndiye uliyeumba galaxy zote au uliweke sukari kwenye miwa na maji ndani ya dafu?.Tuonyeshe huyo mungu nje ya vitabu ya nadharia vya kidini unavyoamini.
Mada inahusu Stephen Hawking na uwepo wa Mungu.Nipo kwenye Laws of logic kaka mkubwa ushafika kwenye Mungu.
Inaonyesha wazi hutaki kuskia Mungu yupo.
Pengine naweza fahamu contradictions hizo mana kuna upande lazima utakuwa upo ktk ukweli kuhusu hili.
Ni kweli.sababu ama jatuna uelewa mzuri, ama kuna uongo
Umetumia standard objective zipi kujudge Moral values hizi pasipo kukopa upande wa pili.Ulimwengu tunaouishi una shida na maovu
Ni kweli.
Umetumia standard objective zipi kujudge Moral values hizi pasipo kukopa upande wa pili.
Objective Evil presupposes objective God / Good.
Evil is argument for God and not against, nitakuwa sawa nikisema hivi ? Mana kipi kinapima ubaya kama hakuna uzuri.
I agree with Stephen hawking.Pined
Umeielewa kweli ama wamekuacha njiani[emoji3][emoji3]Kila mtu Ana evil n good side it depends Ana feed more side gani.....Perceptions
Ila kwenye kuutenda uovu nafikiri Huwa ni kosa la kufahamu na kufanya jambo kwa kusudi na kuleta mateso
Bhasi kumbe Kila mtu amekamilika na ndio sababu Huwa na intents zake au uhalisia wake ila nafikiri kuna ukweli mmoja ambao watu wawili waliokamili hawataweza kukinzana.
Yeah, nataka kufahamu.
Kama sheria hizi za logic zilikuwa ni ugunduzi za mwanadamu au vinginevyo ?
Kwa maana hiyo hakuna ukweli halisi , kwa sababu ukweli halisi hufanya kazi sawa kwa kila mtu bila kujali a nachoamini.
#kuna sehemu bado sielewi.
Eeeh haya nimewaelewa.
Vina kataana Wanavyo andika mara paah kama vinakuja nikitulia naona bado kuna shida somewhere hahahaha.Umeielewa kweli ama wamekuacha njiani[emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ndo uanze reverse wanayosema utafika mwisho kwelJambo zuri hata vitabu vinaruhusu kuhoji na kujaribu unachokiamin I au kutaka kukiamin.
Reverse the order